Nina hamu .......

Mamito mzima ww?
Siku nyingi aisee!
Pole kwa hamu mie nilikua nayo ila ndio ishamalizwa lol!!
hongera yaani mie sijui nitakuwa mgeni wa nani leo na hii hamu
mzima mamii niponipo tu
 
Wewe BB wewe!! Mbona nakukonyeza unajifanya huoni...:crazy:
 
Mi sina hamu.. Ngoja niji keep busy labda ntachoka then ntapata hamu!
 
Hii mida ndo huwa napenda kulala, hapa nilipo navuta kausingizi taratibu.....nahisi nitalala usingizi bila kulog out!
 
Hii mida ndo huwa napenda kulala, hapa nilipo navuta kausingizi taratibu.....nahisi nitalala usingizi bila kulog out!

bora ufanye ivyo mkuu...maana ukilog out tu wapita njia waweza kucheza na password wakalog in!...LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…