BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?
Kwani wewe unanidhania mimi nadhani nini ?
jamani hata avatar haikupi clue, mm ni sheWe ni she or he?Mx
Tena ndizi bukoba au bokoboko, halafu wewe unampekua nini huyo mwenzako hapo mtini...nikajua una hamu ya ndizi yamotoo!...mana na hii baridi!
Tena ndizi bukoba au bokoboko, halafu wewe unampekua nini huyo mwenzako hapo mtini
aku, mie nataka ndizi bukoba au bokoboko, hizo ndeeeefu inahususio mzuzu/mkono wa tembo?moja tu humalizi ww!
mwenyewe nimekuona hata huelewiMbona niko jirani na wewe Blackberry halafu husemi ya nini kuleta huku wakati nipo hapa, mhh?
Mamito mzima ww?Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?
mwenyewe nimekuona hata huelewi
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?
mie nilikua nayo ila ndio ishamalizwa lol!!
natumia simu mwenzio,Mxjamani hata avatar haikupi clue, mm ni she