Nina hamu ya...

Hivi umesahau kikao?? mbona hivi lakini?

Mfundishe jinsi ya kulamba, asije washa moto zaidi ikawa tabu,manake wengine waleta maisha ya movie..lol

Wala hata sijasahau kikao mpenzi .. siku ni leo ila muda tu hujanipa bi dada..

ahhhhh mwanaume mtu mzima huyo lazima ajue kulamba, kuviringisha, kuongeza mate .....etc
otherwise kidode kitashika moto zaidi..
 
huyu Nyani Ngabu yuko wapi tena au anahangaika na vinywaji asije akawa amezima maana kwa ulevi nae
 
nahisi kama waandaji wamekimbia na zawadi au????lol

Mwenzangu! Nimekata mauno weeeee..nimeishia kuambulia miluzi tu..hata kutunzwa situnzwi. Na NN ndio muandaaji..muda ushaenda sasa,yeye haonekani...mmmh!!!
 
Mwenzangu! Nimekata mauno weeeee..nimeishia kuambulia miluzi tu..hata kutunzwa situnzwi. Na NN ndio muandaaji..muda ushaenda sasa,yeye haonekani...mmmh!!!

NN alikuwa anaangalia stock ya vinywaji maana nimemkuta yuko chakali amelewa na viuno vyenu atakuja mda si mrefu
 
Mwenzangu! Nimekata mauno weeeee..nimeishia kuambulia miluzi tu..hata kutunzwa situnzwi. Na NN ndio muandaaji..muda ushaenda sasa,yeye haonekani...mmmh!!!

nilitaka niseme hizo zawadi zikabidhiwe BASATA...lakini nikasahau lol
 
Ishakuwa suala la kiuchumi tena?? kumbe wanaokwepa kodi hubinuka,JF shule !!

Hahahaha. . . hujawahi kusikia baba mwenye nyumba anajifanya kasahau kukusanya kodi chumba cha tatu?
 
Kukilainisha sawa, ila kukichonga kazi ya mtu mmoja tu.

Dearest,ngoja nitaweka link,hutaamini....kuna kama belt wanafunga kiunoni na vimiguu unakuwa kama unaendesha baskeli,ukiweka na yale mengine, unakaa sawa.....!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…