Nina hamu ya...

Zungusha Moyo...zungusha nyonga hiyo....

Abarikiwe aliekuzaa

Hata kunitunza loh??! misamba yote hii....nakatika kifudifudi kama nyoka...mnapiga miluzi tu.. hebu onesheni uungwana kidogo.
 
Naaaah. . . khanga is waaaay sexier, hotter and provocative. If you wanna catch the likes of NN, Nitonye, Mtoboasiri's attention jipitishe na khanga moja.

hahahah nahh I'm fine aee.
Khanga ina sehemu zake na na Bikini nayo inasehemu zake.. unajua fika ni summer sasa.. teh teh teh lolz
 
Mh! Sikujua kuwa nami napakwa rangi moja na kina NN na Nitonye! Hao wako kwenye ligi yao pekee yao, mie kunifananisha nao ni sawa na kumlinganisha paka na simba!
 
tena nyepesi iliyolowana maji kidogo...:eyebrows:
 
hahahah nahh I'm fine aee.
Khanga ina sehemu zake na na Bikini nayo inasehemu zake.. unajua fika ni summer sasa.. teh teh teh lolz

Summer kitu gani wewe, inabidi uwafanye watoke jasho wakitamani kuiondoa hiyo khanga badala ya kuwaonyesha kila kitu bila kuwatoa jasho kidogo.
 
na hamu ya kuanzisha sredi
ila sina jambo la maana
nataka sehemu ya kupiga soga tu
naogopa kuchakachua sredi za watu bure
mwishowe waninunie

kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress
Karibu hapa, karanga na kashata juu yako.

Nawe si useme tu kuwa una ..... ili usaidiwe?
 
Mh! Sikujua kuwa nami napakwa rangi moja na kina NN na Nitonye! Hao wako kwenye ligi yao pekee yao, mie kunifananisha nao ni sawa na kumlinganisha paka na simba!
Hahahaha. . . Baba wa asili unataka kuniambia we hupendi mazeri akipita pita na khanga?
 
Summer kitu gani wewe, inabidi uwafanye watoke jasho wakitamani kuiondoa hiyo khanga badala ya kuwaonyesha kila kitu bila kuwatoa jasho kidogo.

mhhhh Lizzy Luu wee bana..
mi kanga yangu imeandikwa "ukipenda boga , Penda na ua lake" khaaa staki kuona mtoto mtu anachuruzika ..
I rather not......
 
Hahahaha. . . Baba wa asili unataka kuniambia we hupendi mazeri akipita pita na khanga?

Watoto wa siku hizi kweli ni matatizo. Tuseme huyu ndio mazeri wako au umeamua awe?
 
mhhhh Lizzy Luu wee bana..
mi kanga yangu imeandikwa "ukipenda boga , Penda na ua lake" khaaa staki kuona mtoto mtu anachuruzika ..
I rather not......
Sasa kumtoa jasho ndo mpango mzima. . . alafu unampotezea. Kila siku anakuvizia sasa. . . . .
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…