Nina hamu ya kupanda Ungo

Mkuu mshana nimezingatia ofa yako, nipo serious, ukizingatia kwamba katika maisha SI vibaya Sana kuwa na uzoefu WA mambo mbali mbali ukiwa na nafasi, watanzania tunaogopa Sana kujaribu mambo mapya ndio maana unaweza ona hata staili ya kusonga ugali haijabadilika tokea igundulike, maendeleo yanachelewa
 
Uuuuuwi unatoa hizi huduma iwapo atakubali masharti

Hahahahahaaa! Kunasiku nilikula nauli wakati niko mbali, nikawish hako kausafiri! Si waniambie wanitie tunguli la mk....! Hahahahahahaaaaa...!

Nikaamua heri nibaki au nisafiri kwa miguu yangu! Lol!
 
Mkuu mashaxizo, pole Sana ILA hata fisi akipatikana itakua safi Sana, hao jamaa walikua na Nia ovu Tu, ILA sidhani kama hicho kigezo kipo kwa watoa huduma wote
 
Mkuu dreson, I am impressed by your explanation, though najaribu kufikiri kama Kuna uwezekano kwa kanuni hiyo if we can travel back our time, au if we can travel and see our future, we live in the future and travel back to present
 
Hahahahahaaa! Kunasiku nilikula nauli wakati niko mbali, nikawish hako kausafiri! Si waniambie wanitie tunguli la mk....! Hahahahahahaaaaa...!

Nikaamua heri nibaki au nisafiri kwa miguu yangu! Lol!

Nilijua u av a story to tell

Ulitaka kutufunga kamba eti wakutafute uwape mashart while huo usafir huujui.
 
Nilijua u av a story to tell

Ulitaka kutufunga kamba eti wakutafute uwape mashart while huo usafir huujui.

Hahahahahahaaa! Just joking!

Ni upuuzi kufikiria usafiri wa kichawi!
 
Mashaxizo, you must be sick in the head, Mimi ndio ninayetaka kusafiri na ungo, and why do you call it upuuzi? Kama wewe hupendi jambo SI lazima kuchangia kwa kukashifu wenzako ndio wewe uonekane unabusara? By the way kuwa na heshima na matakwa ya wengine however stupid they appear to be,
 



Badoo najaribu kutengeneza ungo kwa ufanisi, ule niliotengeneza mwaka jana uliua mtu baada ya kuanguka jangwani.
 
mkuu Zekidon,ni haki yako kuwa kama utakavyo bila kuvunja sheria na hakika inawezekana maana hakuna jambo lisilowekana kwake aaminiye,lakini unaamini unaweza au unatamani?
O.k,kama unaamini basi uwe tayari kupokea haja yako,lakini huna budi kujiandaa kuface catastrotophic consequences zitokanazo na `shughuli' hiyo!
Je,ungependa nikutajie baadhi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…