Aunty kemmy
Member
- Dec 13, 2013
- 46
- 21
Mim ni msichana na miaka 25. Tatizo langu ni kwamba cpati ujauzito. Nshaenda hosp kwa dk msuya arusha nnikafanyiwa vipimo na dawa nikapewa nikameza lakini sipati mimba. Tatizo nilonalo alosema doctor ni kwamba mayai hayana nguvu. Baadhi ya dawa nilizopewa ni pamoja na clomitab. Nisaidien kwa ushaur what should I do?