Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,018
- 144,377
Chezea wanafiki...aliyekuwa mtetezi namba wani wa Mzee wa Msoga humu ndani, FaizaFoxy, sasa kampa kisogo na kuachana na chakacha ya pwani anasakata rumba ya bara anakotoka Jiwe. Sijui kaka yake Ritz yeye kapotelea wapi...kweli dunia mviringo.Afadhali mwenzie alikuwa anazembea baadhi ya mambo lakini hakuwa na roho ya Shetani , katili, na hazikupotea tilioni 2.4 .
Salary SlipMzee huyu baada ya kuondoka ofisini zaidi ya miaka mitatu iliyopita, mrithi wake amekuwa akimshambulia kimafumbo kwamba aliacha kila kitu kiende hovyo hovyo na watu wapige madili.
Mzee wa watu hakuwahi kujibu hata kwa .mafumbo bali alijikalia kimya pengine akiamini muda ndio utahibitisha kama kweli bwana yule atakuwa mtu wa tofauti.
Leo hii ikiwa ni miaka 3 na zaidi, ukweli umeanza kujidhirisha kwani kwa sasa ni mwendo wa kashifa kuibuka moja baada ya nyingine huku bwana yule akikaa kimya utadhani hayupo au sio yule aliekuwa akimnanga mwenzake majukwaani kuwa alikuwa anazembea.
Kwa haya yanayoendelea kuibuka kila kukicha huku tukitarajia mengine kuendelea kuibuka katika siku zijazo, nina hakika mzee wa msoga kwa sasa anashangilia na pengine anajisemea maneno: "Mungu si athumani, Mungu hamfichi mnafiki, n.k".
Hata hivyo, sisi wengine tulijua mapema kuwa huyu bwana ni wale wale tu na kwamba hakuwa na uhalali wowote wa kumlaumu mzee wa msoga kwani wote ni wa ukoo ule ule wa kijani na sasa muda unathibitisha.
Nawaza tu sijui kwa sasa akikutana na huyu mzee atakuwa anaweza kumuangalia usoni bila chembe ya aibu!
Na sijui bado atakuwa na guts za kuendelea kumshambulia mtanguli wake?
Ama kweli utamu wa ngoma, ingia ucheze.
Yaani unashindwa kumuelewa ambae hakusaini mkataba wa Richmond, Dowans, asiyehusika na dili za Escrow, EPA, Ambaye hakupitisha mkataba wa gesi na mafuta kwa hati ya dharula halafu unawaelewa waliopiga hayo madili?! Na bado unaamini uko huru, huna chama? Maajabu hayatakuja kwisha.Sijui ni kwanini vyama vya Upinzani hapa Tanzania huwa siwaelewi-elewi...Nawaona kama Wahuni wahuni Walio na ngozi za kondoo.
Je,Wanafanya biashara ya kisiasa..?
Kunatoafuti gani Kati ya harakati na siasa...? Naam wengine Watasema Utofauti upo kiduchu.
Waliopo washatuchosha mno na Upuuzi wao usio hesabiki,Je Watakao tuwape wapo imara kweli au ni Washenzi wanaosukumwa na Njaa na Urafi...?
Nilikuwa napitia Mataifa ya Africa Vyama vya Upinzani vilivyochukua serikali kwa kiasi kikubwa mambo yalibaki kama vile vile.Nikang'amua Africa kazi ipo kubwa.
Jambo la kwanza Taasisi.
Taasisi nyingi ni dhaifu Mno,zinaendeshwa na kuongozwa na akili kisoda,Rushwa (Pesa & Ngono), Ubunifu ziro,Watu wapeana dili kindugu,Maneno mengi vitendo sifuri.
Nb: Nipo huru,Sina chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulipuliwa kwa mwandishi Daud Mwangosi hakukushtua wala kushambuliwa na kuuawa kwa mgombea Urais wa Chadema, Dr. Mvungi hakukushtua kisa? Ilikuwa ni awamu ya mtoto wa mjini, lakini kushambuliwa kwa Mh. Lissu katika awamu ya wakuja kumekushtua sana hadi umeanzisha uzi. Watu kama wewe ni hatari sana katika jamii.CCM.
Mi nakuona ww bado sn sn uelewa wako bado finyu sn poleSijui ni kwanini vyama vya Upinzani hapa Tanzania huwa siwaelewi-elewi...Nawaona kama Wahuni wahuni Walio na ngozi za kondoo.
Je,Wanafanya biashara ya kisiasa..?
Kunatoafuti gani Kati ya harakati na siasa...? Naam wengine Watasema Utofauti upo kiduchu.
Waliopo washatuchosha mno na Upuuzi wao usio hesabiki,Je Watakao tuwape wapo imara kweli au ni Washenzi wanaosukumwa na Njaa na Urafi...?
Nilikuwa napitia Mataifa ya Africa Vyama vya Upinzani vilivyochukua serikali kwa kiasi kikubwa mambo yalibaki kama vile vile.Nikang'amua Africa kazi ipo kubwa.
Jambo la kwanza Taasisi.
Taasisi nyingi ni dhaifu Mno,zinaendeshwa na kuongozwa na akili kisoda,Rushwa (Pesa & Ngono), Ubunifu ziro,Watu wapeana dili kindugu,Maneno mengi vitendo sifuri.
Nb: Nipo huru,Sina chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Alphonse Mawazo , Ulimboka, Daud Mwamboka walipata adha kipindi gani ?Afadhali mwenzie alikuwa anazembea baadhi ya mambo lakini hakuwa na roho ya Shetani , katili, na hazikupotea tilioni 2.4 .
Pure nonsense!!!Yaani unashindwa kumuelewa ambae hakusaini mkataba wa Richmond, Dowans, asiyehusika na dili za Escrow, EPA, Ambaye hakupitisha mkataba wa gesi na mafuta kwa hati ya dharula halafu unawaelewa waliopiga hayo madili?! Na bado unaamini uko huru, huna chama? Maajabu hayatakuja kwisha.
Mzee huyu baada ya kuondoka ofisini zaidi ya miaka mitatu iliyopita, mrithi wake amekuwa akimshambulia kimafumbo kwamba aliacha kila kitu kiende hovyo hovyo na watu wapige madili.
Mzee wa watu hakuwahi kujibu hata kwa .mafumbo bali alijikalia kimya pengine akiamini muda ndio utahibitisha kama kweli bwana yule atakuwa mtu wa tofauti.
Leo hii ikiwa ni miaka 3 na zaidi, ukweli umeanza kujidhirisha kwani kwa sasa ni mwendo wa kashifa kuibuka moja baada ya nyingine huku bwana yule akikaa kimya utadhani hayupo au sio yule aliekuwa akimnanga mwenzake majukwaani kuwa alikuwa anazembea.
Kwa haya yanayoendelea kuibuka kila kukicha huku tukitarajia mengine kuendelea kuibuka katika siku zijazo, nina hakika mzee wa msoga kwa sasa anashangilia na pengine anajisemea maneno: "Mungu si athumani, Mungu hamfichi mnafiki, n.k".
Hata hivyo, sisi wengine tulijua mapema kuwa huyu bwana ni wale wale tu na kwamba hakuwa na uhalali wowote wa kumlaumu mzee wa msoga kwani wote ni wa ukoo ule ule wa kijani na sasa muda unathibitisha.
Nawaza tu sijui kwa sasa akikutana na huyu mzee atakuwa anaweza kumuangalia usoni bila chembe ya aibu!
Na sijui bado atakuwa na guts za kuendelea kumshambulia mtanguli wake?
Ama kweli utamu wa ngoma, ingia ucheze.
Wewe hata Uandishi wako Wakichovu sana.
mwenye pepo kila saa anawaza negatives, vita na ugomvi..magufuri akiingia madarakani mm nitastafu kwa raaaha na kupata usingizi by jmk
sasa ww hizo kelele za umajunguni unazutoa wapi wakati mkwere anashinda ikulu kumpongeza jpm
chadema wanakiwanda cha majungu na uongo by jpm