Nina hakika Mzee wa Msoga saa hizi anashangilia huku akijisema moyoni Mungu hamfichi.....

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Mzee huyu baada ya kuondoka ofisini zaidi ya miaka mitatu iliyopita, mrithi wake amekuwa akimshambulia kimafumbo kwamba aliacha kila kitu kiende hovyo hovyo na watu wapige madili.

Mzee wa watu hakuwahi kujibu hata kwa .mafumbo bali alijikalia kimya pengine akiamini muda ndio utahibitisha kama kweli bwana yule atakuwa mtu wa tofauti.

Leo hii ikiwa ni miaka 3 na zaidi, ukweli umeanza kujidhirisha kwani kwa sasa ni mwendo wa kashifa kuibuka moja baada ya nyingine huku bwana yule akikaa kimya utadhani hayupo au sio yule aliekuwa akimnanga mwenzake majukwaani kuwa alikuwa anazembea.

Kwa haya yanayoendelea kuibuka kila kukicha huku tukitarajia mengine kuendelea kuibuka katika siku zijazo, nina hakika mzee wa msoga kwa sasa anashangilia na pengine anajisemea maneno: "Mungu si athumani, Mungu hamfichi mnafiki, n.k".

Hata hivyo, sisi wengine tulijua mapema kuwa huyu bwana ni wale wale tu na kwamba hakuwa na uhalali wowote wa kumlaumu mzee wa msoga kwani wote ni wa ukoo ule ule wa kijani na sasa muda unathibitisha.

Nawaza tu sijui kwa sasa akikutana na huyu mzee atakuwa anaweza kumuangalia usoni bila chembe ya aibu!

Na sijui bado atakuwa na guts za kuendelea kumshambulia mtanguli wake?

Ama kweli utamu wa ngoma, ingia ucheze.
 
Afadhali mwenzie alikuwa anazembea baadhi ya mambo lakini hakuwa na roho ya Shetani , katili, na hazikupotea tilioni 2.4 .
Chezea wanafiki...aliyekuwa mtetezi namba wani wa Mzee wa Msoga humu ndani, FaizaFoxy, sasa kampa kisogo na kuachana na chakacha ya pwani anasakata rumba ya bara anakotoka Jiwe. Sijui kaka yake Ritz yeye kapotelea wapi...kweli dunia mviringo.
 
Sijui ni kwanini vyama vya Upinzani hapa Tanzania huwa siwaelewi-elewi...Nawaona kama Wahuni wahuni Walio na ngozi za kondoo.

Je,Wanafanya biashara ya kisiasa..?

Kunatoafuti gani Kati ya harakati na siasa...? Naam wengine Watasema Utofauti upo kiduchu.

Waliopo washatuchosha mno na Upuuzi wao usio hesabiki,Je Watakao tuwape wapo imara kweli au ni Washenzi wanaosukumwa na Njaa na Urafi...?

Nilikuwa napitia Mataifa ya Africa Vyama vya Upinzani vilivyochukua serikali kwa kiasi kikubwa mambo yalibaki kama vile vile.Nikang'amua Africa kazi ipo kubwa.

Jambo la kwanza Taasisi.

Taasisi nyingi ni dhaifu Mno,zinaendeshwa na kuongozwa na akili kisoda,Rushwa (Pesa & Ngono), Ubunifu ziro,Watu wapeana dili kindugu,Maneno mengi vitendo sifuri.

Nb: Nipo huru,Sina chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee huyu baada ya kuondoka ofisini zaidi ya miaka mitatu iliyopita, mrithi wake amekuwa akimshambulia kimafumbo kwamba aliacha kila kitu kiende hovyo hovyo na watu wapige madili.

Mzee wa watu hakuwahi kujibu hata kwa .mafumbo bali alijikalia kimya pengine akiamini muda ndio utahibitisha kama kweli bwana yule atakuwa mtu wa tofauti.

Leo hii ikiwa ni miaka 3 na zaidi, ukweli umeanza kujidhirisha kwani kwa sasa ni mwendo wa kashifa kuibuka moja baada ya nyingine huku bwana yule akikaa kimya utadhani hayupo au sio yule aliekuwa akimnanga mwenzake majukwaani kuwa alikuwa anazembea.

Kwa haya yanayoendelea kuibuka kila kukicha huku tukitarajia mengine kuendelea kuibuka katika siku zijazo, nina hakika mzee wa msoga kwa sasa anashangilia na pengine anajisemea maneno: "Mungu si athumani, Mungu hamfichi mnafiki, n.k".

Hata hivyo, sisi wengine tulijua mapema kuwa huyu bwana ni wale wale tu na kwamba hakuwa na uhalali wowote wa kumlaumu mzee wa msoga kwani wote ni wa ukoo ule ule wa kijani na sasa muda unathibitisha.

Nawaza tu sijui kwa sasa akikutana na huyu mzee atakuwa anaweza kumuangalia usoni bila chembe ya aibu!

Na sijui bado atakuwa na guts za kuendelea kumshambulia mtanguli wake?

Ama kweli utamu wa ngoma, ingia ucheze.
Salary Slip

Nimefurahi kuona kuwa, unaitumia vema haki yako ya kikatiba ya kutoa nje mawazo yako. Lakini kwa wakati mmoja, nasikitika kuona kuwa, unachofanya ni kazi ya usanii wa maandishi ya kufatiliziwa na muigizaji kwenye tamthiliya uliyoibuni wewe mwenyewe.

Ingefaa sana ikiwa bunilizi lako ukaliweka kwenye uhalisia, ili kwamba ujumbe wako ukae kiuhalisia zaidi. Na hilo litawezekana tu, kama ukatuwekea na ushahidi kwa hayo ambayo umeyaeleza waziwazi.

Kwa maana, mara nyingi tunapopata nafasi ya kusikiliza maelezo ya mzee wetu mstaafu. Ni dhahiri kuwa anaunga mkono na anakubaliana na namna ya utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano ya Dkt Magufuli. Na si kwamba hayo anayasema akiwa mafichoni; mzee Kikwete amekuwa akiyasema hayo hadharani. Vivyo hivyo kwa Rais Magufuli, amekuwa akizitambua na kuthamini juhudi ambazo mtangulizi wake amezifanya kwa taifa. Naye ameyasema hayo waziwazi na ushahidi upo. Sasa nimepata kufadhahika kidogo niliposoma maelezo yako haya. Labda kama ulikuwa unatoa simulizi bunilizi lako.
 
Sijui ni kwanini vyama vya Upinzani hapa Tanzania huwa siwaelewi-elewi...Nawaona kama Wahuni wahuni Walio na ngozi za kondoo.

Je,Wanafanya biashara ya kisiasa..?

Kunatoafuti gani Kati ya harakati na siasa...? Naam wengine Watasema Utofauti upo kiduchu.

Waliopo washatuchosha mno na Upuuzi wao usio hesabiki,Je Watakao tuwape wapo imara kweli au ni Washenzi wanaosukumwa na Njaa na Urafi...?

Nilikuwa napitia Mataifa ya Africa Vyama vya Upinzani vilivyochukua serikali kwa kiasi kikubwa mambo yalibaki kama vile vile.Nikang'amua Africa kazi ipo kubwa.

Jambo la kwanza Taasisi.

Taasisi nyingi ni dhaifu Mno,zinaendeshwa na kuongozwa na akili kisoda,Rushwa (Pesa & Ngono), Ubunifu ziro,Watu wapeana dili kindugu,Maneno mengi vitendo sifuri.

Nb: Nipo huru,Sina chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unashindwa kumuelewa ambae hakusaini mkataba wa Richmond, Dowans, asiyehusika na dili za Escrow, EPA, Ambaye hakupitisha mkataba wa gesi na mafuta kwa hati ya dharula halafu unawaelewa waliopiga hayo madili?! Na bado unaamini uko huru, huna chama? Maajabu hayatakuja kwisha.
 
Mi nakuona ww bado sn sn uelewa wako bado finyu sn pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unashindwa kumuelewa ambae hakusaini mkataba wa Richmond, Dowans, asiyehusika na dili za Escrow, EPA, Ambaye hakupitisha mkataba wa gesi na mafuta kwa hati ya dharula halafu unawaelewa waliopiga hayo madili?! Na bado unaamini uko huru, huna chama? Maajabu hayatakuja kwisha.
Pure nonsense!!!

Nani kasema anawaelewa hawa wachovu wa kijani kibichi...?

Jiwe Juu ya tofali.

Naam, sasa nimeng'amua nimeshakuacha Mweupe Ka'mkorogo chata kawagogo.

Chukuaa darsa hili.

Taasisi.
Taasisi.
Taasisi.

(World Bank &IMF)

Wawezakuta nyinyi ndio ambao huwa mnamasimulizi mtaani huko yakwamba kikitolewa chama tawala basi Tanzania ghafla bin vuu Taifa lenye nguvu na chumi kubwa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee huyu baada ya kuondoka ofisini zaidi ya miaka mitatu iliyopita, mrithi wake amekuwa akimshambulia kimafumbo kwamba aliacha kila kitu kiende hovyo hovyo na watu wapige madili.

Mzee wa watu hakuwahi kujibu hata kwa .mafumbo bali alijikalia kimya pengine akiamini muda ndio utahibitisha kama kweli bwana yule atakuwa mtu wa tofauti.

Leo hii ikiwa ni miaka 3 na zaidi, ukweli umeanza kujidhirisha kwani kwa sasa ni mwendo wa kashifa kuibuka moja baada ya nyingine huku bwana yule akikaa kimya utadhani hayupo au sio yule aliekuwa akimnanga mwenzake majukwaani kuwa alikuwa anazembea.

Kwa haya yanayoendelea kuibuka kila kukicha huku tukitarajia mengine kuendelea kuibuka katika siku zijazo, nina hakika mzee wa msoga kwa sasa anashangilia na pengine anajisemea maneno: "Mungu si athumani, Mungu hamfichi mnafiki, n.k".

Hata hivyo, sisi wengine tulijua mapema kuwa huyu bwana ni wale wale tu na kwamba hakuwa na uhalali wowote wa kumlaumu mzee wa msoga kwani wote ni wa ukoo ule ule wa kijani na sasa muda unathibitisha.

Nawaza tu sijui kwa sasa akikutana na huyu mzee atakuwa anaweza kumuangalia usoni bila chembe ya aibu!

Na sijui bado atakuwa na guts za kuendelea kumshambulia mtanguli wake?

Ama kweli utamu wa ngoma, ingia ucheze.

Unakumbuka uliandika nini wakati anaondoka madarakani miaka 3 iliyopita? Ulisema utashangilia kila siku baada kustaafu kwake maana alikuwa 'dhaifu? Leo hii unapata ujasiri wapi wa kuita wengine wanafiki wakati unakula matapishi yako hadharani? Ukiwa mwongo sharti uwe na kumbukumbu nzuri.
 
magufuri akiingia madarakani mm nitastafu kwa raaaha na kupata usingizi by jmk

sasa ww hizo kelele za umajunguni unazutoa wapi wakati mkwere anashinda ikulu kumpongeza jpm
chadema wanakiwanda cha majungu na uongo by jpm
mwenye pepo kila saa anawaza negatives, vita na ugomvi..
wanatengeneza story za kufikilika ili wajizolee likes na comments...
Hayo ni mdhara ya kuwa lonely and useless
Tuwaombee
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom