Mzee Meja Gen.(Mst) Jacob Gideon Kingu umenikumbusha tena kumtumikia Mungu kuna Faida

Mnyunguli

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
1,569
3,906
Ndefu kidogo ila jitahidi usome mpaka mwisho utapata kitu.

Huyu Jacob Gideon Kingu ni mjeshi mmoja safi sana na anamjua Mungu(wanaomjua kwa karibu watasema) alikuwa mzee wa kanisa na alikuwa anajitoa sana regardless ya cheo chake cha ubrigedia kipindi kile. Nahisi ndio alikiwa mkuu kambi pale ruvu hiyo 2015.To be honest nilitaman sana maisha yake anayoishi na jamii kuwa afisa mkubwa jeshini na kuwa very humble down to the earth kama kaka Maxence Melo (Huyu Mtaalamu yuko poa sana na anapenda debate za hoja tofauti na nilivyotegemea)

Mjeshi huyu alikuja akapanda cheo na kuwa meja generali akaja akawa katibu mkuu wizara mambo ya ndani ila hakudumu sana kuna kashfa ilitokea kipindi kile cha Mwendazake kuhusu mambo ya sare nahisi naamin aliamua kuwajibika akajiuzuru chin ya waziri aliyepiga dili kangi lugola.Magu akamuamin tena na kumpa ubalozi wa nchi ya kiarabu huko Algeriaa. Leo tena Kapewa uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa REA.Usichukulie simple hizi ni baraka maana wajeda wastaafu wa cheo chake wapo wengi lakini jina lake ndio limeenda ikulu.

Hii haiji bure zaidi ya kumtumikia Mungu kwa roho na kweli Hichi ndicho kitu amabacho huyu mzee nilichojifunza kutoka kwake sijui mbelen kama alibadilika ila naamin aliendelea kunyooka na Mungu.

Kuna shule nilikuwa nasoma pwani pale mlandizi ambayo ilikuwa na mixture o-level na advance boys tupu sahivi naona wanafanya vizuri matokeo ya six.Na mm ndiyo nikamjulia pale nilimjua vipi.....

Kiila jumapili tulikuwa tunaenda kanisani usharika wa KKKT na hilo kanisa ndiyo lilikuwa mlezi wetu tukiwa na shida tunawakimbilia wao sasa mchungaji akawa anampa sana maua huyu mzee Kingu "kuna afisa mmoja mkubwa wa jeshi anajitoa sana mambo ya kikanisa ndiyo maana anapata baraka na mimi katika washarika ambao nikianza kuombea washarika kwa Mungu basi jina la kwanza roho wa Mungu huniletea jina lake kichwani na naomba Mungu ambariki apande vyeo zaidi na zaidi"

Zikapita tena jumapili moja mbili mchungaji anahimiza watu wajitoe kama huyo afisa mkubwa wa jeshi(alikuwa mzee wa kanisa) ila hasemi ni yupi na nadhani waumin wengi walikuwa hawamjui. Na kipindi hiko nakumbuka kulikuwa na ujenzi wa fence kama sikosei maana kitambo.Sasa na mimi nikaanza kupata shauku ya kumjua maana alinivutia kujitoa kwake mwanzo nilijua ni uchawa wa mchungaji ila nilivyomjua na kumwona anavyoparangana(hangaika) na waumini muda wa ibada ili iwe ibada iwe organized nikasema Mungu nisamehe kwa kumuwaza mchungaji vibaya.

Sasa kuna jumapili moja ilikuwa ya kumpa mkono wa kwaheri mchungaji alihamishwa usharika so ilikuwa siku ya kumuuaga na kumpa zawadi mbalimbali.Bwana bwana kuna hawa mabint wa Ruvu girls ambao wao walikuwa wanakuja chach mara moja moja nao walikuwa wanasali hapo.Nao hiyo siku wakaja kanisani nadhani walikuja special kwa ajiri ya kumuhaga mchungaji.

Zikaanza kutoka zawadi za hapa na pale ikafika zamu za wanaukwata(shule/wanafunzi) wanaolelewa na usharika tukaanza sisi pale na maokoto ya kujitafuta tafuta tukajichanga pale ila hatukufisha 50k kwa kifupi hatukujipanga na form V tulikuwa hatujui chochote maana hatukumkuta.wakaja ruvu girls aisee walifanya kufuru walitoa zawadi mavitenge,mashati,maokoto ya kutosha yakiwa kwenye bahasha kwa kifupi walitufunika na kutuabisha maana wale ni wengi pale kuna kombi zote za A-level na nahisi walitupania sana kutufunika.

Sasa wakati tukio la watoto wa ruvu girls linaendelea wanatoa zawadi zao sisi tulikuwa tunaenda kanisani kila jumapili na kushiriki hata kazi za usafi wa kanisa na tulikuwa tunaimba kwaya so tulikuwa tunakaa mbele...

Mzee Kingu huyu alinifata na kuniambia MNASHINDWA NA WASICHANA huku kanikamata mabega kwa nguvu(kiafande)akiwa ameinama huku akisikitika sana sana nikamjibu sisi form V tulikuwa hatujui chochote akasema"MNAKUJA KANISANI KILA SIKU TUNAWATANGAZIA LEO KUTAKUWA NA TUKIO LA KUMUHAGA MCHUNGAJI HAFU UNASEMA HUJUI CHOCHOTE"akaondoka.

Nikasema huyu mzee vipi mbona ananiletea ubabe kanisani wakati kanisani ni sehemu ya amani hafu mbona kanigamda mimi tu wengine hajawaona nikapotezea.

Hilo tukio likapita kinyonge sana na washarika wakatuona vijana wa UKWATA wa KILA BOYS miyayushooo.Kumbe ilisemekana huyu mchungaji aliyehama alikuwa anatupenda sana na kutusapoti sana KILA BOYS kwakuwa tulikuwa tunashiriki sana mambo ya kanisani(tulikuwa hatubanwi),Ruvu girls wao walikuwa wanakuja siku za matukio so sisi hatukutakiwa kuonesha unyonge.

Jumapili kama kawa tukawa tunaingia chachi sasa kuna jumapili moja kulikuwa na chakula bwana(sakramenti ya meza ya bwana)) ile unakunywa damu na mwili wa Yesu so pale si unajua lazima mjipange mstari wa mtu kusimama kulia na kushoto.

Kama kawaida mwanaume nikainuka kwenda kula chakula cha bwana ilipofika zamu yetu sasa sijui nilisimama vibaya au sielewi nilishanga Huyu Mzee Kingu kaja kanibeba chapu kanisogeza kuniweka sawa hafu akawa hana time anapanga watu wengine,nikasema huyu mzee shida nini ndio akili ikaja "Afisa mkubwa wa jeshi anayejitoa sana kanisani" nikasema huyu mzee atakuwa ndio yeye maana sio kwa userious huu na nikaunganisha dot na tukio la kwanza alivyosikitika kupitwa na wasichana.

Wenzangu nikiwauliza huyo afisa mkuwa wa jeshi ndio yupi?nao wanasema hawamjui even form six tuliowakuta shule hawakuwa wanamjua.

Tokeo hapo nikawa nikienda kanisani na mimi nikageuka mpelelezi ili nijiridhishe ndio yeye maana alinivutia sana sifa alikuwa anamwagiwa na mchungaji nikawa na hamu ya kumjua. Nikawa namwangilia utembeaji wake badae nikaangalia unyoaji wake nilichunguza kama week 5 uongeaji wake akitoa matangazo.Basi nika-confirm "Ni yeye afisa mkubwa wa jeshi anayejitoa kanisani"

Badae sana nikajaga kuona kijarida cha JKT Mzee kingu yupo juu pale kachafuka tu.

Na kupitia huyu mzee ndiyo nikaamini kweli kumtumika Mungu kuna faida na inaonekana hata yeye analijua hili jambo.Ila hii msingi ya dini naona imetokea kwenye ukoo maana majina Jacob na Gideon haya majina yote yapo kwenye Biblia kwa kumalizia naamini huyu mzee atafika 80+ atafika kwa baraka anazopewa.Mungu amuweke sana.
View attachment 2765937View attachment 2765938View attachment 2765939
 
Ndefu kidogo ila jitahidi usome mpaka mwisho utapata kitu.

Huyu Jacob Gideon Kingu ni mjeshi mmoja safi sana na anamjua Mungu(wanaomjua kwa karibu watasema) alikuwa mzee wa kanisa na alikuwa anajitoa sana regardless ya cheo chake cha ubrigedia kipindi kile. Nahisi ndio alikiwa mkuu kambi pale ruvu hiyo 2015.To be honest nilitaman sana maisha yake anayoishi na jamii kuwa afisa mkubwa jeshini na kuwa very humble down to the earth kama kaka Maxence Melo (Huyu Mtaalamu yuko poa sana na anapenda debate za hoja tofauti na nilivyotegemea)

Mjeshi huyu alikuja akapanda cheo na kuwa meja generali akaja akawa katibu mkuu wizara mambo ya ndani ila hakudumu sana kuna kashfa ilitokea kipindi kile cha Mwendazake kuhusu mambo ya sare nahisi naamin aliamua kuwajibika akajiuzuru chin ya waziri aliyepiga dili kangi lugola.Magu akamuamin tena na kumpa ubalozi wa nchi ya kiarabu huko Algeriaa.Leo tena Kapewa uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa REA.Usichukulie simple hizi ni baraka maana wajeda wastaafu wa cheo chake wapo wengi lakini jina lake ndio limeenda ikulu.

Hii haiji bure zaidi ya kumtumikia Mungu kwa roho na kweli Hichi ndicho kitu amabacho huyu mzee nilichojifunza kutoka kwake sijui mbelen kama alibadilika ila naamin aliendelea kunyooka na Mungu.

Kuna shule nilikuwa nasoma pwani pale mlandizi ambayo ilikuwa na mixture o-level na advance boys tupu sahivi naona wanafanya vizuri matokeo ya six.Na mm ndiyo nikamjulia pale nilimjua vipi.....

Kiila jumapili tulikuwa tunaenda kanisani usharika wa KKKT na hilo kanisa ndiyo lilikuwa mlezi wetu tukiwa na shida tunawakimbilia wao sasa mchungaji akawa anampa sana maua huyu mzee Kingu "kuna afisa mmoja mkubwa wa jeshi anajitoa sana mambo ya kikanisa ndiyo maana anapata baraka na mimi katika washarika ambao nikianza kuombea washarika kwa Mungu basi jina la kwanza roho wa Mungu huniletea jina lake kichwani na naomba Mungu ambariki apande vyeo zaidi na zaidi"

Zikapita tena jumapili moja mbili mchungaji anahimiza watu wajitoe kama huyo afisa mkubwa wa jeshi(alikuwa mzee wa kanisa) ila hasemi ni yupi na nadhani waumin wengi walikuwa hawamjui. Na kipindi hiko nakumbuka kulikuwa na ujenzi wa fence kama sikosei maana kitambo.Sasa na mimi nikaanza kupata shauku ya kumjua maana alinivutia kujitoa kwake mwanzo nilijua ni uchawa wa mchungaji ila nilivyomjua na kumwona anavyoparangana(hangaika) na waumini muda wa ibada ili iwe ibada iwe organized nikasema Mungu nisamehe kwa kumuwaza mchungaji vibaya.

Sasa kuna jumapili moja ilikuwa ya kumpa mkono wa kwaheri mchungaji alihamishwa usharika so ilikuwa siku ya kumuuaga na kumpa zawadi mbalimbali.Bwana bwana kuna hawa mabint wa Ruvu girls ambao wao walikuwa wanakuja chach mara moja moja nao walikuwa wanasali hapo.Nao hiyo siku wakaja kanisani nadhani walikuja special kwa ajiri ya kumuhaga mchungaji.

Zikaanza kutoka zawadi za hapa na pale ikafika zamu za wanaukwata(shule/wanafunzi) wanaolelewa na usharika tukaanza sisi pale na maokoto ya kujitafuta tafuta tukajichanga pale ila hatukufisha 50k kwa kifupi hatukujipanga na form V tulikuwa hatujui chochote maana hatukumkuta.wakaja ruvu girls aisee walifanya kufuru walitoa zawadi mavitenge,mashati,maokoto ya kutosha yakiwa kwenye bahasha kwa kifupi walitufunika na kutuabisha maana wale ni wengi pale kuna kombi zote za A-level na nahisi walitupania sana kutufunika.

Sasa wakati tukio la watoto wa ruvu girls linaendelea wanatoa zawadi zao sisi tulikuwa tunaenda kanisani kila jumapili na kushiriki hata kazi za usafi wa kanisa na tulikuwa tunaimba kwaya so tulikuwa tunakaa mbele...

Mzee Kingu huyu alinifata na kuniambia MNASHINDWA NA WASICHANA huku kanikamata mabega kwa nguvu(kiafande)akiwa ameinama huku akisikitika sana sana nikamjibu sisi form V tulikuwa hatujui chochote akasema"MNAKUJA KANISANI KILA SIKU TUNAWATANGAZIA LEO KUTAKUWA NA TUKIO LA KUMUHAGA MCHUNGAJI HAFU UNASEMA HUJUI CHOCHOTE"akaondoka.

Nikasema huyu mzee vipi mbona ananiletea ubabe kanisani wakati kanisani ni sehemu ya amani hafu mbona kanigamda mimi tu wengine hajawaona nikapotezea.

Hilo tukio likapita kinyonge sana na washarika wakatuona vijana wa UKWATA wa KILA BOYS miyayushooo.Kumbe ilisemekana huyu mchungaji aliyehama alikuwa anatupenda sana na kutusapoti sana KILA BOYS kwakuwa tulikuwa tunashiriki sana mambo ya kanisani(tulikuwa hatubanwi),Ruvu girls wao walikuwa wanakuja siku za matukio so sisi hatukutakiwa kuonesha unyonge.

Jumapili kama kawa tukawa tunaingia chachi sasa kuna jumapili moja kulikuwa na chakula bwana(sakramenti ya meza ya bwana)) ile unakunywa damu na mwili wa Yesu so pale si unajua lazima mjipange mstari wa mtu kusimama kulia na kushoto.

Kama kawaida mwanaume nikainuka kwenda kula chakula cha bwana ilipofika zamu yetu sasa sijui nilisimama vibaya au sielewi nilishanga Huyu Mzee Kingu kaja kanibeba chapu kanisogeza kuniweka sawa hafu akawa hana time anapanga watu wengine,nikasema huyu mzee shida nini ndio akili ikaja "Afisa mkubwa wa jeshi anayejitoa sana kanisani" nikasema huyu mzee atakuwa ndio yeye maana sio kwa userious huu na nikaunganisha dot na tukio la kwanza alivyosikitika kupitwa na wasichana.

Wenzangu nikiwauliza huyo afisa mkuwa wa jeshi ndio yupi?nao wanasema hawamjui even form six tuliowakuta shule hawakuwa wanamjua.

Tokeo hapo nikawa nikienda kanisani na mimi nikageuka mpelelezi ili nijiridhishe ndio yeye maana alinivutia sana sifa alikuwa anamwagiwa na mchungaji nikawa na hamu ya kumjua. Nikawa namwangilia utembeaji wake badae nikaangalia unyoaji wake nilichunguza kama week 5 uongeaji wake akitoa matangazo.Basi nika-confirm "Ni yeye afisa mkubwa wa jeshi anayejitoa kanisani"

Badae sana nikajaga kuona kijarida cha JKT Mzee kingu yupo juu pale kachafuka tu.

Na kupitia huyu mzee ndiyo nikaamini kweli kumtumika Mungu kuna faida na inaonekana hata yeye analijua hili jambo.Ila hii msingi ya dini naona imetokea kwenye ukoo maana majina Jacob na Gideon haya majina yote yapo kwenye Biblia kwa kumalizia naamini huyu mzee atafika 80+ atafika kwa baraka anazopewa.Mungu amuweke sana.
Kuwa mzee wa kanisa si cheo cha kusomea, muumini yeyote mwenye sifa ya umri wa utu uzima anaweza kuchaguliwa na waumini wenzake, hivyo hakuna cha ajabu.
 
Ukipata pesa. Ukiwa na maisha mazuri. Ukiwa na watoto wenye connections. Utakua umeipata amani, na hakuna utakacho salia zaidi ya kumtumikia Mungu/Jehova/Aallah.
Anza ukiwa kapuku, Mungu anataka akuonje ukiwa huna kitu na ukiwa navyo ukoje.
Mungu hahitaji mtu makombo yaani zee linalosubiri kufa.

Imeandikwa;
(Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. Mhubiri 12:1)
 
Aliwahi kuwa pia mkuu wa chuo cha taifa cha ulinzi yani Commandant NDC baada ya kupanda cheo kutoka Bgd. Gen hadi Maj. Gen hadi kustaafu akimpokea kijiti Lt. Gen Y Mohamed ambaye kwa sasa pia mstaafu alikuwa kapanda cheo kutoka Maj. Gen na kupewa majukumu ya kuwa Mnadhimu mkuu (CoS) wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania.
 
Hapana, Baada ya Yakub Hassan Mohamed, Mkuu wa NDC alikuwa Balozi Maj Gen (rtd) Milanzi
Kingu hajawahi kuwa Mkuu wa NDC, kingu ameanza kujulikana kwenye Public Baada ya Jiwe kumpa ukatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani
 
Siku ambayo Lt Gen (Rtd) Y Mohamed anaapa kuwa CoS akitokea NDC kama commandant nani alisomwa pale ikulu na CDF kureplace nafasi ile Akitokea Mzinga Corporation kama managing director pia GoC?
 
Hapana, Baada ya Yakub Hassan Mohamed, Mkuu wa NDC alikuwa Balozi Maj Gen (rtd) Milanzi
Kingu hajawahi kuwa Mkuu wa NDC, kingu ameanza kujulikana kwenye Public Baada ya Jiwe kumpa ukatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani
2018 - 2020 - Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania
2018 - Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC)
Tanzania Ambassador to the Republic of Algiers from 2020 - 2023.
 
Back
Top Bottom