Nina hakika hili lilishakutokea hata wewe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,954
Reaction score
831,493
Ni jambo la kihisia mno, jambo lililo ndani ya moyo kabisa lisilotoka na ambalo hujirudiarudia kila Mara!

Ni kuhusu wema uliowahi kutendewa na mtu baki halafu ukaahidi kimoyomoyo kumlipa lakini isiwezekane kwakuwa hujawahi kuonana naye tena au pengine keshafariki.

Nakumbwa na hiyo hali! Namkumbuka mno Dada Jamila Mazoea R.I.P alinipenda sana na kunisaidia katika mengi, lakini kabla ya kuwa na uwezo wa kulipa wema wake kwangu alitwaliwa kutoka katika maisha haya.

Nilichoweza kumsaidia ni mwaka 1993 ambapo nilikutana naye akaniomba sh mia mbili ambayo nilimpa ile ya noti kipindi hicho, baada ya siku ile sikuwahi kuonana naye mpaka mwaka 2010 nilipoenda kwake na kuambulia kuonyeshwa kaburi lake!

Bado namkumbuka dadaangu JAMILA MAZOEA na kwenye ulimwengu wa roho analifahamu hili
 
Uko sahihi

Mkuu duuuuh! Umenigusa sana

Kuna kaka mmoja (mkubwa sana kwangu) ni engineer wa mabarabara kama sikusei namtafuta japo nitamke neno Asante tu!

What he did in my life made me who I am today! Kibaya zaid sikuwah hata kulijua vizur jina lake (kitu kama BURHANI MUSSA kama sijakosea) nakumbuka sura tu ndo Huwa hainitoki, ndani ya siku 5 tu hardly 5 alibadilisha historia nzima ya maisha yangu!

Jaman ni hadithi ndefu, ila huyu kaka namtafuta mno, hadi mme wangu ameona aanze kunisaidia!
 
Mkuu duuuuh! Umenigusa sana,

Jitahidi mno umpate kabla hajatwaliwa itakufariji mno
 
Nimekumbuka mkasa mmoja uliwahi kuwekwa humu kitambo kidogo wa jamaa aliesaidiwa kubadilishiwa tyre maeneo ya vingumguti lkn wkt jamaa akivuka baada ya kumsaidia akagongwa na gari na kufariki. Ilikuwa habari ya kusikitisha kidogo. Na ilimtesa sana yule ndugu.

Sikumbuki heading yake ila inahuzunisha mno.
 
Duu mpaka nimesisimka kuna ile moja ilikuwa kwenye gazeti la Jitambue wakati ule jamaa alikuwa anaenda Arusha kwenye interview kufika korogwe wakashuka kula pale Traveler's Inn wakati huo. Jamaa akaagiza msosi akala akamaliza kuja kudaiwa hana mia mfukoni aliyekuja kumuokoa ni Mzee mmoja kakaa na mkewe na mwanae, jamaa akashukuru sana akaondoka

Kukaribia Arusha wakakuta ajali mbaya ya gari dogo ilikuwa ni usiku na watu wawili wamefariki mwanaume na mwanamke aliyepona ni mtoto tu! Jamaa alikuja jua asubuhi kuwa aliyefariki ni yule Mzee aliyemlipia chakula pale korogwe.

Baada ya miaka mingi kupita na kwa namna ya ajabu kabisa yule jamaa akiwa boss alikuja kutana na yule mtoto akiwa na uhitaji mkuu...ni habari ndefu ya kuhuzunisha mno.
 
Duu mpaka nimesisimka kuna ile moja ilikuwa kwenye gazeti la Jitambue wakati ule jamaa alikuwa anaenda Arusha kwenye interview kufika korogwe wakashuka kula pale Traveler's Inn wakati huo. Jamaa akaagiza msosi akala akamaliza kuja kudaiwa hana mia mfukoni aliyekuja kumuokoa ni Mzee mmoja kakaa na mkewe na mwanae, jamaa akashukuru sana akaondoka

Kukaribia Arusha wakakuta ajali mbaya ya gari dogo ilikuwa ni usiku na watu wawili wamefariki mwanaume na mwanamke aliyepona ni mtoto tu! Jamaa alikuja jua asubuhi kuwa aliyefariki ni yule Mzee aliyemlipia chakula pale korogwe....

Baada ya miaka mingi kupita na kwa namna ya ajabu kabisa yule jamaa akiwa boss alikuja kutana na yule mtoto akiwa na uhitaji mkuu...ni habari ndefu ya kuhuzunisha mno

Hapa duniani kuna mambo mtu unakutana nayo yanakuwa hayafutiki hata kwa jinsi yoyote ile, Maisha ni safari ndefu.
 
Duu mpaka nimesisimka kuna ile moja ilikuwa kwenye gazeti la Jitambue wakati ule jamaa alikuwa anaenda Arusha kwenye interview kufika korogwe wakashuka kula pale Traveler's Inn wakati huo. Jamaa akaagiza msosi akala akamaliza kuja kudaiwa hana mia mfukoni aliyekuja kumuokoa ni Mzee mmoja kakaa na mkewe na mwanae, jamaa akashukuru sana akaondoka

Kukaribia Arusha wakakuta ajali mbaya ya gari dogo ilikuwa ni usiku na watu wawili wamefariki mwanaume na mwanamke aliyepona ni mtoto tu! Jamaa alikuja jua asubuhi kuwa aliyefariki ni yule Mzee aliyemlipia chakula pale korogwe....

Baada ya miaka mingi kupita na kwa namna ya ajabu kabisa yule jamaa akiwa boss alikuja kutana na yule mtoto akiwa na uhitaji mkuu...ni habari ndefu ya kuhuzunisha mno

Yap! Nilibahatika kuisoma hiyo habari...bahati yake alipata nafasi ya kulipa fadhila, kitu ambacho kitampa relief kubwa maishani mwake.
 
Mkuu duuuuh! Umenigusa sana,
Kuna kaka mmoja (mkubwa sana kwangu) ni engineer wa mabarabara kama sikusei namtafuta japo nitamke neno Asante tu!

What he did in my life made me who I am today! Kibaya zaid sikuwah hata kulijua vizur jina lake (kitu kama BURHANI MUSSA kama sijakosea) nakumbuka sura tu ndo Huwa hainitoki, ndani ya siku 5 tu hardly 5 alibadilisha historia nzima ya maisha yangu!
Jaman ni hadithi ndefu, ila huyu kaka namtafuta mno, hadi mme wangu ameona aanze kunisaidia!

Jaribu kumtafuta kwenye mitandao ya jamii kama Facebook, na CRB. Hebu ungetuwekea alichofanya tushee(share) experience.
 
Lile gazeti lilikuwa na habari nyingi za namna hii kuna ile moja ya mwizi wa Temeke

Ile ya mwizi wa temeke sikubahatika kuimalizia mkuu, nadhani gazeti lililofuata sikulipata, ...niliishia alipofika jalalani akajifanya chizi, na yule dogo alieombwa amsetiri akawapoteza maboya wale wananchi wenye hasira.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom