chemosynthesis
Member
- Sep 14, 2016
- 85
- 38
- Thread starter
-
- #41
Mkuu nimekupata ntayafanyia kaziUnajua kutongoza ni sanaa eeh? Kwa hiyo usanifu na ubunifu ndicho kipimo.
Lakini pia kutongoza ni sayansi...unatakiwa umsome mwanamke organs zake zinavyoplay wakati unamtongoza.
Lakini pia kutongoza ni psychological phenomena. Unatakiwa umfanye a relux, uvute akili yake yote kwqko.
Haya yote yanahitaji mwanaume anaemtongza mwanamke. Ila kwa wavulana na wasichana huparamiana tu.
Ndo madudu gani hayo au ugoro wa asbh asbh?!!!!!😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵
Hao ndio kawaida yao komaa tu Mimi mmoja ana mahusiano siku namdondoseja saundi anashindwa kukataa aanaishia tu kusema naogopa kumsaliti mchumba wangu ukiongeza moto anakuambia basi tutafanya maramoja tu halaf basiHabari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa
napenda niende kwenye mada moja kwa moja
Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo
Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter
nakuona nakuonaNdo madudu gani hayo au ugoro wa asbh asbh?!!!!!
Likuepukalo lina heri nawe!Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa
napenda niende kwenye mada moja kwa moja
Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo
Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter
pole mkuu.. sasa kuindoa hiyo ni kukoga mara saba usitumie sabuni !!Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa
napenda niende kwenye mada moja kwa moja
Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo
Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter
tafiti za jfUshauri........ukiona umemtongoza mwanamke ambaye hajaolewa wala hajafanyiwa engagement basi huyo mwanamke ana UKIMWI.
Fikiria mara mbili kabla ya kuhuzunika.
fisi mawindoniHuwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.
Halafu tabia za kupotea bila kuaga uache....fisi mawindoni
kwani nimepotea mm DabyHalafu tabia za kupotea bila kuaga uache....
Saana nakuja pm nachomeka mahindi. Mpaka Nikahisi umepigwa bankwani nimepotea mm Daby