chemosynthesis
Member
- Sep 14, 2016
- 85
- 38
Hahahh mkuu kwahyo kijana kama hana pesa akae pembeni ?Ndugu yangu, hali yako ya kiuchumi ikoje?
Maana hawa viumbe bila fedha utaishia kuwaita shemeji tu.
Mkuu nazani kufika siyo leoMkuu usiwaze bahati ipo njiani ikifika utawakimbia
Mkuu gia tena? Hbu nipe tips zinisaidie niondokane na upwekeUnatumiaga gia gani?
Mkuu usawa huu?nunua gari mkuu............
Aaaah kuoa bado sija planiUkishaoa utaona folen...
Twaweza reportUshauri........ukiona umemtongoza mwanamke ambaye hajaolewa wala hajafanyiwa engagement basi huyo mwanamke ana UKIMWI.
Fikiria mara mbili kabla ya kuhuzunika.
Umeongea ukweli kabisa, nina uzoefu na hilo suala, kipindi hauna demu wa kugonga huwa ni ngumu sana kumpata demu unayempenda ila ukiwa nao sasa utawapanga mpaka uwakimbie au uwangonganishe then wanakuacha wote.Hiyo hali mara nyingi huwa inatokea kwa watu wengi tu.Kinachotakiwa kufanya hapo, wewe nenda katongoze demu yeyote unayeona itakuwa rahisi akukubali , usichague demu.ikiwezekana hata kununu ukishagonga kama mara tatu hivi kungundu litaondoka. Baada ya hapo nenda katongoze demu unaye mpenda.huongei sana lazima akubali.Unajuwa kama ni mtu wa kugonga sana mademu.Mtu huwa anakuwaga na kismati (mvuto ) kwa akina dada.Hauongei sana.jambo jingine usikate tamaa demu anapokuambia kuwa kupo kwenye mahusiano hiyo ni gereshs tu,anskupima pumzi yako ya kuongea.jambo jingine. Unapo msogelea demu mara ya kwanza usimwambie kuwa unampenda.Jenga naya urafiki wa karibu kwanza ili aweze kukuamini.Baada ya majuma au mwezi unaanza sasa kumwambia hisia zako kwake.kumbuka kwamba wanawake wengi wenye kujiamini wanapenda kuingia kwenye uhusians na mwanamume anapo mwamini.
Mkuu hilo zigo hapo duuh haya bwanaTwaweza report
Steak ina raha yake mkuuMkuu hilo zigo hapo duuh haya bwana