Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
Teh.Mie na msongamano mbalimbali.Napenda kujinafasi kwa raha zangu.Na wewe kidumu cha nani?
au ndo unajisogeza uwe kidumu no 2? lol
Teh.Mie na msongamano mbalimbali.Napenda kujinafasi kwa raha zangu.Na wewe kidumu cha nani?
au ndo unajisogeza uwe kidumu no 2? lol
I salute all MMU,
Leo niko kivingine kabisa si kwamba mtu ameiba password yangu La hasha wala si bange ninazokula. Ni hivi tangu nilipojua kuwa Obama anakuja bongo nimekuwa nikijisop sop kila mahali now niko fit and ready. Msaada ninaoutaka ni mtu anisaidie niwe among watanzania watakaomhudumia Rais Obama na nikipata hiyo nafasi nimlaghai hadi aweke tupu zake kwangu na niko siku za hatari so itanasa tuu. Wana MMU nisaidieni tafadhali.
It's me sakapal

Ha ha ha umemstukia eeeh ila hata mie namtamani obama jamani ile figure yake ndo ugonjwa wangu sipati picha michelle anavyoinjoi al nite long lol
WEWE UNAFILIRI MITCHELL ATACHEZA MBALI ANAWAJUA NYIE HAMKAWIZI!! HAHAA Ushauri: Ingia kanisani ama chmbani mwako jifungie muombe Mungu sana akultelee wa kwako wa kuzaa naye!!
Yaani juhidi zote hizo ili tu upate nafasi obama atumbukize kikojoleo chake?.....mbon tunaye handsome dr. mhe. mr dhaifu na hakaliki naamini anaweza kukuhudumia....ukitaka nikupe no za kuwadi mkuu wa totoz za huyu mbayuwayu
Napenda sana kuwa pasua kichwa heheheee hujakosea
Mambo mengine sio tu kujivunjia heshima bali kuivunjia heshima taasisi.
Hivi unadhani yangeandikwa ya namna hii kuhusu Kikwete huu uzi ungekuwa bado upo hewani?
Hilo ni pepo dada yangu chukua hatua kulishughulikia kabla halijakufikisha pabaya, leo unamtamani obama kesho utamtamani baba yako.