Nina gari canter, Je niifanyie biashara gani?

Roger Ramer

Member
Feb 4, 2017
34
15
Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha mwenyewe wikend tu. Je, niifanyie biashara gani? Nipe dili au toa maoni yako.
 
Dah, hebu andika vizuri. Ww unamiliki alafu upeleke hesabu? Hebu changanua hapo
 
Kwa ujuzi mdogo nilionao kuhusu hizo gari hesabu yake ni Tsh 50,000/Day sasa mkuu kwa nini usimtafute mtu unae muamini ukampa akulete hesabu au kama huna imani na madereva uwe unaingia mzigoni wewe mwenyewe nauhakika utapata zaidi hata ya hiyo Tsh 50000/Day, Na nauhakika ukiingia mwenyewe ndani ya mwaka unaongeza canter nyingine hapo mkuu na kipato kinaongezeka mara mbili.

Uwoga wako ndio umasikini wako mkuu.
 
Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha mwenyewe wikend tu. Je, niifanyie biashara gani? Nipe dili au toa maoni yako.

Kabla kukushauri labda niulize, ulilinunulia nini?
 
Acha kazi ili ulifanyie kazi sawasawa,
omba likizo ya ugonjwa etc,piga kazi ukiona inalipa kuliko kazi acha kazi,ukiona hailipi uza nunua kiwanja weka msingi,subiri miaka kumi na tano uza kwabei maradufu ya uliyonunulia,
kisha ongeza mke wafike wawili mkuu
 
Sasa matajiri wote wenye malori wangeendesha wenyewe ingekuwaje?Acha ubinafsi,MPE mtu kazi.Itakuwa we we n mpigaji tuuu ndio mana unang'ang'ana bandarini hivyo unahisi na wewe utaibiwa kwenye kijicanter chako.Toa ajira acha umimi,hivi ukigongwa Leo uko kurasini ukakatika mikono utaendelea kuendesha?
 
Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha mwenyewe wikend tu. Je, niifanyie biashara gani? Nipe dili au toa maoni yako.
Igeuze iwe CHAI MARAGE.
 
Weka namba yako hapa, sasa unaomba dili then namba unaficha? unafikiri kuna mtu atakuja inbox kichwa kichwa akupe namba?
 
Sasa matajiri wote wenye malori wangeendesha wenyewe ingekuwaje?Acha ubinafsi,MPE mtu kazi.Itakuwa we we n mpigaji tuuu ndio mana unang'ang'ana bandarini hivyo unahisi na wewe utaibiwa kwenye kijicanter chako.Toa ajira acha umimi,hivi ukigongwa Leo uko kurasini ukakatika mikono utaendelea kuendesha?
mkuu kuna siku nilfanikiwa kuongea na tajiri mmoja ana malori kama 30 hivi, nilimuuliza kwa nini watu wenye magari ya ngama ya biashara wanapotea kwenye game?? akasema wanawaamini kwanza madereva kuliko kazi, akanishauri kama nina gari ya ngama nikomae mwenyewe ila ndo niwe nimezamia huko kimoja kwa muda wa mwaka mzima mpaka itakapokuwa imezaa nyingine, nkamchukulia poa nkatafuta kijana, hivi navyokwambia gari imepaki natafuta hela ya matengenezo.

somo la kujifunza. ukiona mtu amekuambia hataki ampe mtu ana sababu zake lukuki.
 
Uko sahihi!!unajua ukiwa muajiriwa usimamizi kuyumba ni kawaida,hivyo its better ukachagua moja.Uyo jamaa akiamua kukomaa kwenye canter lazima atoboe,ila ameamua kula kotekote.
 
Back
Top Bottom