griffin2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 694
- 831
Za sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control box, nimebadilisha lakini tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada wenu wa mawazo na fundi ambaye anaweza kunitatulia tatizo langu.