Nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu

griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
606
Points
1,000
griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
606 1,000
Za sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control box, nimebadilisha lakini tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada wenu wa mawazo na fundi ambaye anaweza kunitatulia tatizo langu.
 
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
5,727
Points
2,000
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
5,727 2,000
MI NIKAJUA TATIZO NI NGUVU ZA KIUME PEKEE KUMBE HADI MAGARI HUWA YANAPOTEZA NGUVU???!!!
Just kidding, pole sana mkuu nina imani utapata suluhisho bora zaidi au unaweza kutafuta forums za nje zinazohusu magari,huwa wana discuss vitu kwa mapana sana kule
 
K

Kunyata

New Member
Joined
Mar 26, 2019
Messages
2
Points
20
K

Kunyata

New Member
Joined Mar 26, 2019
2 20
Pole sana mkuu nadhani ungetafuta garage nzuri waichek kwa kutumia diagnosis machine hapo utapata mwanga kidogo bila utamaliza pesa na muda wako tatizo litabaki sababu mafundi wengi wanabahatisha tuu
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
15,043
Points
2,000
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
15,043 2,000
Za sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control box, nimebadilisha lakini tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada wenu wa mawazo na fundi ambaye anaweza kunitatulia tatizo langu.
Service ya kubadili oil ulishafanya?
 
I

iikatseb

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
272
Points
500
I

iikatseb

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2014
272 500
Nenda gereji hapa sio gereji
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,884
Points
2,000
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,884 2,000
Niuzie hilo mkuu we ununue lingine
 
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
1,464
Points
2,000
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2018
1,464 2,000
Za sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control box, nimebadilisha lakini tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada wenu wa mawazo na fundi ambaye anaweza kunitatulia tatizo langu.
Mkuu magari ya siku hizi umeme mwingi ..hayapigiwi ramli....

Fanya diagnosis ambayo haizidi elfu 50....
Unaweza kukuta ni kitu kidoogo tu...
Control box ikizingua ungeona mapicha picha mpaka uchanganyikiwe...
 
griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
606
Points
1,000
griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
606 1,000
Mkuu magari ya siku hizi umeme mwingi ..hayapigiwi ramli....

Fanya diagnosis ambayo haizidi elfu 50....
Unaweza kukuta ni kitu kidoogo tu...
Conteol box ikizingua ungeona mapicha picha mpaka uchanganyikiwe...
Asante kwa ushauri
 
griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
606
Points
1,000
griffin2

griffin2

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
606 1,000
Diagnosis nshafanya mkuu ila fundi akasema ni control box ndiyo imezingua hivyo nikaibadili ila tatizo bado halijapona
Mkuu magari ya siku hizi umeme mwingi ..hayapigiwi ramli....

Fanya diagnosis ambayo haizidi elfu 50....
Unaweza kukuta ni kitu kidoogo tu...
Conteol box ikizingua ungeona mapicha picha mpaka uchanganyikiwe...
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
22,220
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
22,220 2,000
Za sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control box, nimebadilisha lakini tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada wenu wa mawazo na fundi ambaye anaweza kunitatulia tatizo langu.
Gari lako litakuwa na moja kati ya matatizo yafuatayo:-
1. Fuel pump itakuwa imeanza kuharibika, ama fuel filter (chekeche) itakuwa imeziba na hata kusababusha mafuta ya kutisha kutokwenda kwenye engine ili yaunguwe.
2. Uwezekano wa gasket kuwa chakavu ni mkubwa na hata kupelekea bypass za oil, hydraulic, fuel ama kuvuja ama kupunguza compression.
 
JMF

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
884
Points
1,000
JMF

JMF

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
884 1,000
Mkuu hapo ni gearbox inazingua gear ya tatu au ya nne. Ila kabla hujafika ndani ya gearbox, kuna solenoids zinazofungulia oil kwenye channel ya kila gear. Hivyo kama solenoid ya gear ya tatu au nne imekufa, gear hizo hazibadiliki hivyo gari kubakia kwenye mwendo mdogo. Chakufanya ni ku test kwanza solenoids.
NB: Hii ni kama transmission oil ipo level inayotakiwa na ni nyekundu. Tofauti na hapo, huenda ni suala tuu la kubadili hiyo oil
 
Forum statistics

Threads 1,336,567
Members 512,648
Posts 32,543,604
Top