Nina dukuduku, busu husababisha mimba?

Nina dukuduku, busu husababisha mimba?

Acha kukwepa majukumu wewe
kama mwanaume tu unatamani kubeba mimba kwanini busu lisilete mimba kwa mwanamke????
Unalo hilo babuuu hahahaaaa....
unazidi kunimaliza tu
 
KUNA msichana ninayempenda lakini amenikataa kabisa. kuna siku moja ambayo nilimshawishi hadi akakubali kunibusu...

lakini akanionya kuwa hio haikumaanisha kuwa
amenikubali.


sasa anadai ana mimba na anadai ni yangu. kwani jamani busu husababisha mimba? nawasilisha
Ndio Linasababisha mimba na hasa kama hauna kichwa kwenye uume kwahiyo zinapitia kwenye mdomo.
 
Scientifically provided kuwa busu linasababisha mimba
 
KUNA msichana ninayempenda lakini amenikataa kabisa. kuna siku moja ambayo nilimshawishi hadi akakubali kunibusu...

lakini akanionya kuwa hio haikumaanisha kuwa
amenikubali.


sasa anadai ana mimba na anadai ni yangu. kwani jamani busu husababisha mimba? nawasilisha
Yes ni kweli busu husababisha mimba.

Lea mimba hiyo mkuu.
 
KUNA msichana ninayempenda lakini amenikataa kabisa. kuna siku moja ambayo nilimshawishi hadi akakubali kunibusu...

lakini akanionya kuwa hio haikumaanisha kuwa
amenikubali.


sasa anadai ana mimba na anadai ni yangu. kwani jamani busu husababisha mimba? nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuuu unachekesha
 
Huyo dem atakuwa mtoto wa bikra maria.ndo mimba zao huingia hivyo
 
usifanye masihara hivi dunia ikisimama utashuka uaenda wap?
kuna Siku humu humu Jf miaka ya nyuma Jamaa alikuja kuuliza "Ikiwa ulilala usiku then Asubuhi ikafika ukaamka kisha ukafungua dirisha ili uchngulie nje, ghafla ukashtuka kuona nje hakupo, Je ungefanyaje? "
Sasa Swali lako nalo mule mule tuu
 
Back
Top Bottom