Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Shule zimefungwa ama!? Hii nini sasa jamani!?
umempekua? [emoji16]Jamani wee si una miaka 9 huja fanya tendo la ngono wewe. Na si ni wewe unayetamani kubeba mimba uvunje rekodi duniani kama sio Africa ya mwanamme kubeba mimba!!!!
Unajua watu wengine wajinga sanakuna Siku humu humu Jf miaka ya nyuma Jamaa alikuja kuuliza "Ikiwa ulilala usiku then Asubuhi ikafika ukaamka kisha ukafungua dirisha ili uchngulie nje, ghafla ukashtuka kuona nje hakupo, Je ungefanyaje? "
Sasa Swali lako nalo mule mule tuu
Da! sijawahi kusikia hii, kwanini usimkubalie tu, we si ulisema unatamani mimba? Amekuletea.KUNA msichana ninayempenda lakini amenikataa kabisa. kuna siku moja ambayo nilimshawishi hadi akakubali kunibusu...
lakini akanionya kuwa hio haikumaanisha kuwa
amenikubali.
sasa anadai ana mimba na anadai ni yangu. kwani jamani busu husababisha mimba? nawasilisha
Ndio ni thread zake aliweka humuumempekua? [emoji16]