Nina div 2 ya pointi 10 (CBG), nisome nini?

Law za UD na UDOM kwa maksi hzo huwez kuzipata labda law za saut, ruco, tumaini na mwalimu nyerere. Lakin waliokushauri course za sayansi wapo sahihi kwa sababu utafit vzur na umefaulu vzur mno. Hvyo fuata walivyokushaur kwa kuwa wapo vyuon na wanaelewa na kwa kuwa ni sayansi mkopo una asilimia mia.
 
Bsc. Health laboratory sciences
Uiweke kwenye list yako (hasa kama uko inspired na medical field).

tragedy of the commons
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom