God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
habari zenu ndugu zanguni mimi ni mwanasheria nina bachelor ya law nipo kilosa mjini (Morogoro) ndiko ninakofanya kazi nataka kuhamia Dar es salaam.
anaetaka tubadilishane nafasi jaman asisite kunitaarifu niko tayari mda wowote.
kama una ndugu, rafiki, mzazi au mlezi ni mwanasheria anatata kuhamia kilosa mjini mkoani Morogoro mwambie tubadilishane nataka kuhamia Dar es salaam.
natanguliza shukrani.