Nina changamoto ya hasira kali mno!

Nina changamoto ya hasira kali mno!

wew una trauma zinakutafuna cha kufanya ni kufanya realesing za trauma zote zinazokutafana utakaa sawa au tafta watu wa meditation na manifestation wanaweza kukusaidia ilo tatizo lako ukapona kabisa apa chini ya Jua kitu kigumu ni kuzuia kifo tu kazi kwako .
 
Heri ya siku njema ya Jumamosi.

Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.

Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.

Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
Pole sana
 
Kujaaa hasira ni udhaifu mkubwa sana.

Actually ni reflection ya shida iliyopo ndani ya mtu.

Werevu hujua.

Wakimuona mtu mwenye kuwaka mahasira wanajua ako anapitia matatizo mazito.
Mkuu inaoneka una na experience na hili,na upo sahihi kabisa na hili ni tatizo la wengi..
 
Hio si changamoto Kwa kuwa kuna wengine ni wapole Sana!!
 
Heri ya siku njema ya Jumamosi.

Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.

Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.

Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
Oaneni. Uasherati na uzinzi ni uchafu.
 
jifunze kuitawala hiyo hasira
 
mkuu unaikasilikia malighafi?

lete uku tuichakate wenzio najua izo feelings uwa zinakuwa ukishapiiiiiga weeee hlf saivi ushashiba eti utaki tena yale mambo.
 
Mimi pia nilikua na hilo tatizo la hasira niko fresh mda huu,
1.acha kutegemea chochote kwa huyo mwanamke, wewe amua kua wewe ndio uliempenda hata afanye kosa gani msamehe kama mtoto bila hivyo huchomoki
2.kama unafanya kazi au biashara moja anzisha biashara ingine hata iwe ndogo kiasi gani peleka hasira huko
3.kuhusu wanawake kuna kipindi nilikua na demu mkali, njia pekee ilonifanya ni dumu naye ni yani nilikua sitarajii chochote kizuri kutoka kwake kila akifanya kitu kizuri kwangu ilikua surprise
4.acha kutarajia vitu vikubwa kama bado hata hakuna hatua zinazoonekana kwenye kazi zako, hasira inaenda mkono kwa mguu na matarajio yasiyo onekana
5.acha kutarajia kitu chochote kwa ndugu zako ambao unahisi wanaweza kukusaidia lakini hawakusaidii hili nalo linafuga hasira kwa watu wengi.
6.acha utoto bwana anza kulala masaa matatu kwa siku wanaume hatulali
7.tafuta mwanamke wa kawaida kabisa ambaye kwa hakika ujue anakupenda hata kidogo, huyo jini kisirani usimwache.
6.mjinga wewe
7. point za maana hapo ni 1 hadi 5 mimi ni daktari wa hisia chukua kama zilivyo screenshot sawa.
8. kama tatizo lako litaendelea reply nikupe namba utume fedha niwe nakufanyia ushauri nasaha kila siku
 
Heri ya siku njema ya Jumamosi.

Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.

Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.

Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
Bado hasira inaendelea mpk leo nikupe ushauri.. ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom