As if it is that easy!Umri wako mdogo nenda Veta kasomee ufundi simu au ufundi computer ujiajiri
Nakushauri kam upo home, ingia mtandaoni jinoe kwenye fani unayoipenda, fanya mazoezi na omba sehemu ujitolee ili kujinoa zaidi.Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.
Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na changamoto ya kifedha lakini baada ya mwaka mmoja nilijiunga na chuo cha DIT na kuchukua kozi ya information technology (basic certificate in information technology) niliyosoma kwa mwaka mmoja.
Naomba msaada wenu, kwa sasa nipo Dar es Salaam Kigamboni. Kwa mawasiliano +255783807803
Kozi ya ufundi simu au komputa miezi miwili haizidi 250000.hawezi kufa njaa mjini trust meAs if it is that easy!
Umejiajiri?Kozi ya ufundi simu au komputa miezi miwili haizidi 250000.hawezi kufa njaa mjini trust me
NdioUmejiajiri?
Basi umeamua kumpoteza mwenzako maana uhalisia utakuwa unaujuaNdio
Simpotezi mkuu kariakoo ukiwa na kimeza na na benchi na vifaa vyako kama ni fundi simu hukosi hela ya kula au unajibanza kwa fundi mzoefu ndio watu wanaishi mjini hapaBasi umeamua kumpoteza mwenzako maana uhalisia utakuwa unaujua
Akisubiri kuajiriwa atapoteza muda ajira hazina guarantee,usidharau vyuo vya veta ndio mkombozi wa sisi watoto wa masikiniBasi umeamua kumpoteza mwenzako maana uhalisia utakuwa unaujua
Hicho kimeza, vifaa ni bure? Umeme atakaotumia ni bure? Kuwa fundi mzoefu inachukua muda gani?Simpotezi mkuu kariakoo ukiwa na kimeza na na benchi na vifaa vyako kama ni fundi simu hukosi hela ya kula au unajibanza kwa fundi mzoefu ndio watu wanaishi mjini hapa
Sijamshauri asubiri kuajiriwa tu. Kuomba kazi ni pamoja na tenda, kazi za watu, kupata kwenye biashara zingine kama consultant na pia kuajiriwa mahali.Akisubiri kuajiriwa atapoteza muda ajira hazina guarantee,usidharau vyuo vya veta ndio mkombozi wa sisi watoto wa masikini
Volunteering ataenda kwa miguu kazini au atakula mawe,pesa lazima itumike tu huwezi kufanikiwa bila kuingia cost,hapa tunatafuta unafuuHicho kimeza, vifaa ni bure? Umeme atakaotumia ni bure? Kuwa fundi mzoefu inachukua muda gani?
Kujibanza kwa fundi kivipi? Kama ni kumsaidia unapata posho ina tofauti gani na volunteering niliyoshauri?
Kiufupi unless awe dalali au awe kijakazi wa fundi, ushauri wako hauko practical
Hapa sasa ndio umerudi kwenye point yangu ya msingi. Sio rahisi kama comment yako ya kwanza ilivyokuwa inaonesha. Kuna gharama kubwa unalipia kwenye kujiajiriVolunteering ataenda kwa miguu kazini au atakula mawe,pesa lazima itumike tu huwezi kufanikiwa bila kuingia cost,hapa tunatafuta unafuu
Hapo sawa huwezi kutoboa maisha bila kutoboka mfuko mi niliwahi kwenda bukoba kufanya interview na kazi nikaikosa ***** nauli,çhakula guest laki mbili yangu ikapoteaHapa sasa ndio umerudi kwenye point yangu ya msingi. Sio rahisi kama comment yako ya kwanza ilivyokuwa inaonesha. Kuna gharama kubwa unalipia kwenye kujiajiri
Changamoto ni ada ndugu nilitaja kwenda veta kusomea mtambo mmoja wa forklift ili nipate kaz viwandan lakn ada ikawa changamotoUmri wako mdogo nenda Veta kasomee ufundi simu au ufundi computer ujiajiri
Pitia nyuzi za Jamii Opportunities kisha solve tatizo lilipo anzia hapa Jifunze kumuacha aendeNdugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.
Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na changamoto ya kifedha lakini baada ya mwaka mmoja nilijiunga na chuo cha DIT na kuchukua kozi ya information technology (basic certificate in information technology) niliyosoma kwa mwaka mmoja.
Naomba msaada wenu, kwa sasa nipo Dar es Salaam Kigamboni. Kwa mawasiliano +255783807803