Nina CCNA na MCP(MICROSOFT) certifications naomba .....

Nina CCNA na MCP(MICROSOFT) certifications naomba .....

banzy

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
22
Reaction score
154
Habari zenu wakuu!!
Nina degree ya IT na pia nilijiendeleza kwa kusoma professional course za CCNA na MCP na kufaulu na kupata vyeti na ninaujuz wa kutosha baada ya hapo niliamua kufanya kazi ya kujitolea taasis fulani ili niongeze ujuzi zaidi sasa naona naweza kuingia kwenye hii dunia ya ushindan, naomba kuajiriwa kwa m2 au kampuni yoyote ilio tayari kufanya kazi na me ili kusukuma gurudumu la taifa,ingawa Najua hili c jukwaa lake lkn Najua huku kuna wataalam wengi wenye uzoefu ambao wanaweza wakanipa hata ushauri au kuniambia nn cha kufanya.ahsanten
 
Unaweza kutuma cvs zako online,Zoomtanzania.com ....vijanatz.com/jobs, wakiona wanahitaji mtu watakupa taarifa,beware matapeli pia wapo.
 
Umesema unadegree ya IT,CCNA na MCP na umejitolea kufanya kazi sehemu mi naona uko vizuri sijui utendaji wako wa kazi ukoje.Tembelea Zoomtanzania dairy,nenda www.brightermonday.com,radarrecruitment jisajiri,create job alert then tulia utakuwa unatumiwa job notification kwenye e-mail yako ikitokea kazi inayoendana na mambo yako.
 
Kwa sifa ulizonazo na kama kweli unajua kazi kwanini unahangaika kutaka kuajiriwa kwani usijiajiri mwenyewe naamini wapo wengi ambao ungweza kuwafanyia kazi ukiwa kama mjasiriamali ,kwanini wa Tz tuna ugonjwa wa kupenda kuajiriwa,tumia ombwe la ICT tulionalo hiyo ndio fursa,nunua laptop ,modem,simu kazi kwisha baada ya muda utakuwa na ofisi na kazi zitakufuata zenyewe kwa sasa inakubidi uzifuate,jiamini omba appointment fanya presentation ya kitu ulicho nacho mengi yatakuwa historia
 
Tafuta email za HR wa mabenki na kampuni za simu, watumie CV na cover letter hata kama hawajatangaza kazi, sidhani kama utakosa kazi muda mrefu. Good luck.
 
Kwa sifa ulizonazo na kama kweli unajua kazi kwanini unahangaika kutaka kuajiriwa kwani usijiajiri mwenyewe naamini wapo wengi ambao ungweza kuwafanyia kazi ukiwa kama mjasiriamali ,kwanini wa Tz tuna ugonjwa wa kupenda kuajiriwa,tumia ombwe la ICT tulionalo hiyo ndio fursa,nunua laptop ,modem,simu kazi kwisha baada ya muda utakuwa na ofisi na kazi zitakufuata zenyewe kwa sasa inakubidi uzifuate,jiamini omba appointment fanya presentation ya kitu ulicho nacho mengi yatakuwa historia

Ndugu siyo rahisi kihivyo. Ila inawezekana. Tatizo la bongo ni kujuana. Kama haumjui mtu hata kama unajua vitu kupata kazi/tender inakua ngumu. Ndo maana baada ya chuo ni vyema kufanya kazi kidogo kabla ya kujiajiri
 
Back
Top Bottom