asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Bado hujakutana na joto asili la mapenzi
Mie cjuag kumpenda mtu etii
awa ndo wale hata wakijamba wanataka uwaambie 'pole beby, umeumia?'
Wiki nayo its a bit long..ninachosema ni kupeana SPACE..