Ingekua vipi jf tunaongea?
Hahaha eti ndo mapenzi ya siku hizi.. wengine ss hatuwezi hizi mambo 😃😃😃Kila saa cm baby mekula,baby unaenda wap na nani kufany nn,baby mic,mda kidg baby umekunywa maji,unarud sa ngap............. uuuuuwiiiiiiiii jaman nachokaa
Hahaha eti ndo mapenzi ya siku hizi.. wengine ss hatuwezi hizi mambo 😃😃😃
About girlfriend and boyfriendMe mtu apige hata mara mia,napokea coz simu zangu ndo zinazoendesha kazi zangu,kuliko mtu ani'sms bora apige tu japo najitahidigi some times kujibu,ila sijajua kama hii mada inazungumzwa kwa upande wa ma g'frnd&b'frnd tu,wengine simu ikipotea tunatupwa nje ya ramani ya walipa kodi wa taifa,ashukuriwe alievumbua hii kitu inayoitwa simu,tena ya mkononi.japo tupo tofauti.
Hilo sijui ni tatizo? Kwakweli na mimi nipo ivo, unaweza kupiga naona kabisa ila nakutext, ata sijui nini (sio girlfriend mtu yyte)
Daah kuna best wangu wa kike nlmuuliza hii kitu akasema eti mm Sijui ku'Care.. ila navyojua mimi kucaring ni zaidi ya hizi simu za Mara kwa Mara.Usipofanya hivo au kureply et humpendi utanuniwa weweee
Kila saa cm baby mekula,baby unaenda wap na nani kufany nn,baby mic,mda kidg baby umekunywa maji,unarud sa ngap............. uuuuuwiiiiiiiii jaman nachokaa
Mkuu hujawahi kugombana na Mpenzi kisa hii kitu? Mm imetokea sanasimu za kila mara zinaboa sana mie pia nina tatizo hilo la simu limenianza mwaka huu mpaka natamani siku nyingine kutowasha simu kwa ajili ya kila dakika mtu anataka uongee nasimu
VP naww hujawahi kuachana na Muzee sababu hii! Simu ni muhimu Kweli..lakini wengine too muchsio wewe tu ata me sipendi iyo kitu,utakuta dume limejawa na miwivu plus basi kila dakika anapiga kwakweli hua sipendi kabisa kuongea na simu yaani iyo interest sina kabisa
Kuna mtoto wa Ki'pemba alikuwa ananipigia anataka tuongee mpaka saa 7 usiku..hapohapo mchana kapiga na asubuhi kapiga.damnnn!!😁Jamani binadamu mpaka umuelewa yahitaji moyo sasa mkipigiwa kero na msipopigiwa mnalalamika?Mie vyote kwangu sawa yani unipigie niongee siku nzima au kuchart mie kwangu poa sana
Wakiminya wasikupigie kama wiki, hukawii kuzuka hapa kuanzisha uzi mwingine, "Hawa watu wakoje mbona nawahudumia vizuri sana lakini hawanipigii simu." Ukipendwa pendeka badala ya kulalama.