Nina allergy na simu za mara kwa mara

Nina allergy na simu za mara kwa mara

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
699
Reaction score
1,120
WanaJF naomba ushauri, nimekuwa na allergy na Simu za asubuhi na usiku hasa zile za mara kwa mara za ma'girlfriend wangu.

Yaani unakuta hata naachana na wanawake wengi kwa sababu hiyo (Wivu huchangia).

Wengi wanafikiri labda nina Ma'girlfriend wengi ndo maana siwapigii simu(labda nawapigia wengine) mpaka naachana nao.

Hata Sometimes wakipiga simu wao huwa sipokei (Simu za usiku na Asubuhi) .

Najitahidi lakini nashindwa kusbadilika.
 
Haaa hata mm cpend mwanaume mthumbufu
 
Sina girlfriend ila hata mimi sijui huwa nina shida gani, sipendi kuongea na simu kwakweli. Ukipiga ntakwambia nitumie SMS
 
Sina girlfriend ila hata mimi sijui huwa nina shida gani, sipendi kuongea na simu kwakweli. Ukipiga ntakwambia nitumie SMS
Kuna wengine ukiwaambia watume SMS,ni full kukasirika
 
Sina girlfriend ila hata mimi sijui huwa nina shida gani, sipendi kuongea na simu kwakweli. Ukipiga ntakwambia nitumie SMS

Hilo sijui ni tatizo? Kwakweli na mimi nipo ivo, unaweza kupiga naona kabisa ila nakutext, ata sijui nini (sio girlfriend mtu yyte)
 
kuanzia leo anza kutumia redio kolu...
 
Jamani acheni tuwapigie...........tunawajali mjue.........
 
Wakuu kuna Ma'binti wasipopigiwa simu hata siku moja wanahisi hawapendwi. Is it a love ni kupigiana simu kila saa??
 
Back
Top Bottom