King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,662
unataka kuwa mteja wa garagi?poa toa hako ka milioni tano kako
"Anowauzia wasanii magari anaiitwa nani? Maana wanatumia mda mwingi gereji kuliko barabarani"---By Fid Q
unataka kuwa mteja wa garagi?poa toa hako ka milioni tano kako
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.
Unataka gari ya aina gani? sasa hivi magari kwa ajili ya usafiri wa binafsi watu wanachagua cc ndogo kuanzia 1600 na kushuka. Mimi naweza kukuzia ya cc 1300 ninaitumia mwenyewe, na iko vizuri sana. Lakini pia naweza kukuagizia kwa kitu kama miilioni 7, sasa uchague nikufanyie order ya mpya chini ya km. 70,000 au uchukue hiyo yangu ambayo ndio imevuka tu i km 100000 kwa 5. mil. Gari yenyewe ni manual DAIHATSU STORIASALOON CAR.
nimeipenda hii.....ndo ile inafanana na Duet....?
A.K.A ka Mister Beannimeipenda hii.....ndo ile inafanana na Duet....?
ni pm kuna fuso limauzwa