nina 5mil. cash je nitapata gari?

naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.

unaleta utani wewe..hiyo ni bei ya bajaj ...
 
Unataka gari ya aina gani? sasa hivi magari kwa ajili ya usafiri wa binafsi watu wanachagua cc ndogo kuanzia 1600 na kushuka. Mimi naweza kukuzia ya cc 1300 ninaitumia mwenyewe, na iko vizuri sana. Lakini pia naweza kukuagizia kwa kitu kama miilioni 7, sasa uchague nikufanyie order ya mpya chini ya km. 70,000 au uchukue hiyo yangu ambayo ndio imevuka tu i km 100000 kwa 5. mil. Gari yenyewe ni manual DAIHATSU STORIASALOON CAR.

jina lako linaweza kukukosesha biashara mkuu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom