BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Iphone mzee wanalimit sana kwenye kupata vituNjoo nikuuzie iphone 6 imetumika miez 4
[emoji23] [emoji23]Njoo nikupe Tecno P5 Ongezea 50000 lakini.
Mkuu unamaanisha nn hapa sijakusoma badoIphone mzee wanalimit sana kwenye kupata vitu
Xiaomi nasikia ni hata
iPhone ipi?Nasikia Tecno na Samsung wana camera nzuri.
Ila ikipendeza zaidi karibu ulimwengu wa Iphone
Mdada mwenye chura? [emoji15] mzee uko sirias tufanye biasharaNjoo nikupe samsung note 8,unanipa hiyo hela na mdada mwenye chura
Tecno cx air sawa mzee vipi xiaomi unaonajeNenda dukani kachukue tecno cx hutakuja jutia kwa picha
Asante sana chief [emoji120]Mm sitaki nikupangie simu ya kununua ila nimeona umesema unapenda mapicha picha na betri inayokaa na moto...
Pia hapa hutajuta kufanya maamuzi baada ya kusoma
Vigezo Muhimu Kabla hujanunua Simu ~ SmatSkills
Mm nilisoma kabla ya kuchukua Infinix yangu
xiaomi mkuu zipo bongo?Tecno cx air sawa mzee vipi xiaomi unaonaje
KANUNUE TECNO K7 220000 na chenj ya bando inabaki..wakuu nina hela hapa sasa nataka kutimiza lengo langu la kununua simu yenye kamera na betri Nzuri mimi ni mtu wa Picha sana
Ushauri wenu tafadhari kabla matatizo hayajazuia lengo langu
0718295182