Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

Hahahaha, anawadhalilisha siyo!..umenikumbusha wakati gx110 zinaingia jamaa aliumizwa 18M wakati huo mimi 13M gari mpya kuliko yake jamaa aliumia sana.

hahaha umeona....sasa imagine mtu anakuja na milioni 3 anataka gari kama hiyo? na mtu katoka kupigwa kitu cha 18M au ndo kama ivi umenunue kitu kimesimaam kwa 13M....huyu atasubiri sana sema ndo kama anavosema mkuu King Kong III kwamba kuna watu wanakuja kuweka sredi kufurahisha genge tu apa
 
Last edited by a moderator:
Watu mna Harrier & X- Trail mnachoooonga!! Hv mngekuwa basi hata Vogue au hata Amazon si ndio mnge mharishia maneno zaidi dada wa watu!

haaaa......hata ningekuwa na ka TOYO halafu mtu anipe bei ya baiskeli, ningechonga

Kwa taarifa yako tu, kuna Harrier/X-trail bei yake ni kisu kuliko hizo gari unazosema, inategemea tu na ubora wa gari wakati unainunua....FYI

CC Baba V
 
Last edited by a moderator:
Siongezi hata mia.niko mwanza hadi jumatano ijayo nikiwa safarini to Arusha then to Dar.
Nina kazi maalum.

wauzaji tuwasiliane hapa hapa JF.Sitaki PM
Nitakuwa online au kuingia Jf mara kwa mara hadi jumatano ijayo.

zipo nitafute nitakupa na fundi akusindikize
 
Humu JF watu wanakuja kutishana hawana nia ya dhati ya kitu wanachoandika ndio maana watu wanatoa kejeli tu kwa watu wa dizaini hyo;-
1.Kuna mtu alikuja hapa ana mil200 sijui na ngapi alikuwa anataka ushauri afanye biashara gani sasa mtu kama huyo si anakejeli na ku beep watu humu?
2.Kuna mtu akaja humu anatoa mikopo hadi bil1
3.Kuna mtu akaja huku akawa anataka ushauri anunue vogue au gari nyingine(nimeisahau)

Humu kila mtu huwa analengo la kuweka masredi hayo ya ajabu ajabu mara nyingi wapo mawindoni kuwadaka wapenda mtelemko aka ubwete maana mtu kaanzisha sredi ana mil300 mtu kama huyu aki PM binti humu sidhani kama hatamkosa akichombeza ndio maana sie tunawapa makavu tu.

Yeah man nakumbuka yule wa mil 200 na vogue. Wa mil 200 akawa hataki biashara anazoshauriwa na wa vogue akawa mkali
 
milioni kumi si ni sawa na ndoto za asubuho kama sio mchana. najua ni hela ya kununua corola
 
Nashukuru sana Jf ,wiki iliyopita hii gari tulipata kwa 11M Dar!

Nwashukjuru sana,hivi sasa nakula bata!
 
Nashukuru sana Jf ,wiki iliyopita hii gari tulipata kwa 11M Dar!

Nwashukjuru sana,hivi sasa nakula bata!
ulipata ipi sasa dadaangu, harrier au xtrail?..naona ulipunguza ukali ukakubali kuongeza mia, au yule jamaa wa pm alijazia?..lol!
 
hivi sister uliipata kwa PM, manake hapa hakuna mtu alionyesha nia ya kuuza

NB ulikataza mawasiliano ya pm, au watu walikiuka katazo?
 
ulipata ipi sasa dadaangu, harrier au xtrail?..naona ulipunguza ukali ukakubali kuongeza mia, au yule jamaa wa pm alijazia?..lol!

-Nilipata Harrier.
-Nilijivuta na kuongeza 1M badala ya zile 10 za mwanzo.
-Sijaongwa na wote walionitafuta via PM sikuwajibu.Nilipata hapa hapa,tazama hii thread kuna member waliniwekea -bei,niliwatafuta baadhi tunakafanya biashara
-Picha sitaweka!
 
Poa dadaangu, endesha kwa usalama tafadhali!
 
Alipata harrier m11, akaanze kushinda gerej..

safi sana mchane aelewe harrier 10m labda ya manzese

acha kukariri wewe! tatizo la watanzania wengi wala hawajui dunia inakendaje! Tambua hata gari la milioni 200 unaweza linunua kwa milioni 10 ikitegemea muuzaji ana sababu gani za kuuza.Dunia iko hivyo!

Achana na mawazo ya kukariri kwamba vitu vya aghali ndiyo bora au vinginevyo,badilika.Mbona tunanunua kila siku magari ya serikali kwa mnda kwa ts Laki 5 tu wakati thamani ya gari ni milioni 24.

Harrier kwa bei yake halisi ni milini kati ya 17-47 lakini hata ya milioni 20 uanweza pata kwa sh milioni 7 tu.

Jenga utaratibu wa kujitambua.... vinginevyo mtaishi kwa kukariri wenzio tunasonga mbele! nikiweka specification za hili gari wala utachanagnyikiwa.muuzaji amabye ni member hapa aliniomba nisifanye hivyo.

cc Chisamba RedBacteria
 
wewe dada wew!
 
Nashukuru sana Jf ,wiki iliyopita hii gari tulipata kwa 11M Dar!

Nwashukjuru sana,hivi sasa nakula bata!

Aisee.. kama ni kweli una bahati sana ..jinsi shillingi ilivyoshuka thamani.. yaani Million 11 yako kwa Harrier ni kama dola 6,800 ikijumuisha CIF DSM + TRA + takataka zingine - Depreciation ... Ukirudi kinyume nyume...bei yake hiyo Harrier ni kama dola 3,000 ... Hongera kama si kiini macho!
 
Aisee ipo Manual, sports rim za ukweli, mziki wa ukweli, leather seat, tinted. Bima imeisha.....tamu sana nimeitunza hadi raha japo namba ni AMH. Xtrail ya mwaka 2005 imetembea 77,000Km tu. naiuza kwasababu nimehamishwa kikazi to SA. Kama uko interested chap chap..... 11.5 aisee
 
mbona waonekana mkali bestito hiyo pesa kwa gari uitakayo hutaweza pata
labda used sana na iwe imechoka ile mbaya ndo utapata ongeza japo kidogo
nikukutanishe na kaka zangu wakuuzie hilo gari best

Nasisitiza tena.
Sitaki majibu kupitia PM.kwa nini msijibu hapa mpaka chemba,sijui nitakuongezea uchukue nzuri.Hivi nyie mibaba vip.

Mtu atakaye ni-PM mambo ya kipuuuzi nitaileta huku.
Jiheshimu.Kama huusiki na bisahra ya magari kaaa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom