Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

mbona waonekana mkali bestito hiyo pesa kwa gari uitakayo hutaweza pata
labda used sana na iwe imechoka ile mbaya ndo utapata ongeza japo kidogo
nikukutanishe na kaka zangu wakuuzie hilo gari best

hahah ladyfurahia mwenzio keshapata harrier kwa milioni 11, kila mtu na bahati yake, yeye kapata bahati hiyo, so tumuwache kabisa. Soma post ya FTP apo juu
 
Last edited by a moderator:
acha kukariri wewe! tatizo la watanzania wengi wala hawajui dunia inakendaje! Tambua hata gari la milioni 200 unaweza linunua kwa milioni 10 ikitegemea muuzaji ana sababu gani za kuuza.Dunia iko hivyo!

Achana na mawazo ya kukariri kwamba vitu vya aghali ndiyo bora au vinginevyo,badilika.Mbona tunanunua kila siku magari ya serikali kwa mnda kwa ts Laki 5 tu wakati thamani ya gari ni milioni 24.

Harrier kwa bei yake halisi ni milini kati ya 17-47 lakini hata ya milioni 20 uanweza pata kwa sh milioni 7 tu.

Jenga utaratibu wa kujitambua.... vinginevyo mtaishi kwa kukariri wenzio tunasonga mbele! nikiweka specification za hili gari wala utachanagnyikiwa.muuzaji amabye ni member hapa aliniomba nisifanye hivyo.

cc Chisamba RedBacteria

Basi sawaaaaaaaaaaaaaaaaar Hongera!!
 
Siongezi hata mia.niko mwanza hadi jumatano ijayo nikiwa safarini to Arusha then to Dar.
Nina kazi maalum.

wauzaji tuwasiliane hapa hapa JF.Sitaki PM
Nitakuwa online au kuingia Jf mara kwa mara hadi jumatano ijayo.

Update

Leta milion 16 nikupe harrier yenye namba B.... , alikuwa anatumia wife, ameichoka!
 
Mh. Duh

:A S-confused1::A S-confused1::frusty:
 
Kuna watu humu niliposema nimenunua TOYOTA harrier walinibeza na kudhani utani.
Sana nimecopy hili tangazo kutoka gazetini muone bei za magari .Ukubwa wa pua siyo makamasi!

Leo kwenye gazeti la MAWIO uk wa 12 nimesoma tangazo la kuuza magari mabalimbali yakiwwemo.

1.Nissan XTRAIL-9.8M 2001 MODEL
- Petrol Engine
-Automatic Gear Transmission
- Air Conditioned
-Imported from Japan
-Taxes &import duty paid

2.TOYOTA harrier-
9.8M 2000 MODEL
-5s Petrol Engine
- 4cylinder,fuel efficient engine
- Automatic Gear Transmission
--Imported from Japan
-Air conditioned
- Taxes &import duty paid

Fika kukagua hayo magari TABATA RELINI,MANDELA ROAD DAR ES SALAAM
Piga simu 0784 45 89 82

Habari ziwafikie hawa (nafikiri niwaite sijui wakuda)
Mavotah 123Kape
lowale Kaizer
Baba V TARIMO WA ROMBO
MTK Tripo9
Cynthia Chriss Mlayjr
Money Stunna mzurimie
King Kong III
 
mimininayo x.trail nissan CGN ndo reg no yake. Nipe milioni 16 nikuachie

Hizo ndizo bei za xtrail za 2004 hadi 2005 tena unaagiza kutoka auction Japan itakuwa imetembea kilometa chini ya laki 1 za ukweli si za kurudisha nyuma! Yaani bei hiyo gari unakuwa nayo barabarani ndani ya miezi 2 tangu uagize
 
Ukitafuta hayo magari hata kwa milioni 3 unapata, issue ni kuwa utahamia gereji ngapi? Manake sio sifa kuwa fundi muzuri wa ac, gear bix, sijui umeme wote una namba zao. Gari ya kuishi magereji nani anataka?
Kuna watu humu niliposema nimenunua TOYOTA harrier walinibeza na kudhani utani.
Sana nimecopy hili tangazo kutoka gazetini muone bei za magari .Ukubwa wa pua siyo makamasi!

Leo kwenye gazeti la MAWIO uk wa 12 nimesoma tangazo la kuuza magari mabalimbali yakiwwemo.

1.Nissan XTRAIL-9.8M 2001 MODEL
- Petrol Engine
-Automatic Gear Transmission
- Air Conditioned
-Imported from Japan
-Taxes &import duty paid

2.TOYOTA harrier-
9.8M 2000 MODEL
-5s Petrol Engine
- 4cylinder,fuel efficient engine
- Automatic Gear Transmission
--Imported from Japan
-Air conditioned
- Taxes &import duty paid

Fika kukagua hayo magari TABATA RELINI,MANDELA ROAD DAR ES SALAAM
Piga simu 0784 45 89 82

Habari ziwafikie hawa (nafikiri niwaite sijui wakuda)
Mavotah 123Kape
lowale Kaizer
Baba V TARIMO WA ROMBO
MTK Tripo9
Cynthia Chriss Mlayjr
Money Stunna mzurimie
King Kong III
 
bado mnanunua gari za 2000!!! polen watu tunanunua ya 2013 kila mwaka tunanunua apo bado mnauziwa used,anza kujenga urafik na fundi gereji.
 
bado mnanunua gari za 2000!!! polen watu tunanunua ya 2013 kila mwaka tunanunua apo bado mnauziwa used,anza kujenga urafik na fundi gereji.

Hivi ile landrover yako 109 umeiuza?
ile juzi nikajua ni breakdown kumbe ya kutembelea?
 
bado mnanunua gari za 2000!!! polen watu tunanunua ya 2013 kila mwaka tunanunua apo bado mnauziwa used,anza kujenga urafik na fundi gereji.

Huna ubavu huo, hata akina Manji na Mengi hawanunui magari kila mwaka ya kutembelea.
 
Loh, unajua tatizo ni jinsi wewe mwenyewe ulivyoweka tangazo na kujihami kwingi ndiyo maana watu wengine wameanza kukuzingua pm (kama ni kweli, lakini siamini kama ni kweli!). Kwa haraka uliyonayo ni ngumu kupata hizo gari kwa hiyo bei! Usingekuwa na haraka wala hauna haja ya kusikiliza hizi kelele za watu wanaponda hicho kiduchu ulichonacho unaweza kupata gari nzuri tu, last time nimeuza xtrail 10.5M, imesimama sana na namba yake ni B, imetembea km 120K, mpaka leo niliyemuuzia anashukuru vibaya mno.

Mkuu kwa sasa Subaru ya 2005 manual itapatikana kwa bei gani! Aina ya Forester
 
Huna ubavu huo, hata akina Manji na Mengi hawanunui magari kila mwaka ya kutembelea.

nyie mnabisha kitu ambacho amjui. uwa narudisha gari nachukua nyingine mpya kwa kuongeza pesa kidogo. hayo ma used ndio mnakuja kununua nyie walala hoi
 
Hivi ile landrover yako 109 umeiuza?
ile juzi nikajua ni breakdown kumbe ya kutembelea?

acha kuleta utani. unabisha jambo usilojua uwa kila mwaka narudisha gari na kuchukua nyingine mpya kwa kuongeza pesa kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom