Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

Leta milion 18 nikupatie x trail imetumika mwezi3 na haina shida yoyote
 
Ila hata kama ulikuwa unaweka tangazo, kwa wengi sie imeonyesha una tabia mbaya zile tabia mbaya mnazoficha mkiwa na watu.

Kha mie hata nilisahau kuwa wewe ni mwanamke, hadi walipoandika maana sijaamini.

Cha ukweli ni umechemka, pesa ndogoooooooo kwa unachotaka halafu unaleta kiburi. Si ungeuliza hata kama inatosha.

Lazima utakosa hata watu kwa maandishi yako kama wanajua zaidi au wanayo au wangesuggest vizuri duh inasikitisha.

Badilika
 
Hanna bana gari atapata tena nzuri tu msimzingue mwenzenu, kuna bonge la harrier imeuzwa 11m mwez ulopita, pia kuna yard moja pale kinondon nimesahau jina walikuwa na xtrial za 8, 9,12m.....kama vp nenda pale jan japan ukacheki pia.....ningekupa taarifa nzur coz mi nae nna mpango wa kununua aina hzo hzo, sema tu mi had desemba ili niuze kifuncargo changu kwanza......nitakuwa nakupa update na we kama utapata mapema nipage update kama umepata......olwayz puzia watu wanaokatisha tamaaaa
 
Huyu ni yule dada wa arusha nini! Aliyekula shaba wakati anataka kumpa.mtu shaba.
 
Viela vyenyewe mbuzi halafu unaleta jeuri kweli,tu milion 10 ndo ya kuleta ngebe humu? Eti sitaki pm siongezi hata sumni my a.s.s kama hauna hela acha kununua vitu vizuri,yapo ma TOYO,SAN LG yanakufaa,Harrier hata ya 3.0 haupati kwa 10,x-trail ndio usiseme!!! Hauna tofauti na viola aliyelimwa risasi ya bega.
 
Siongezi hata mia.niko mwanza hadi jumatano ijayo nikiwa safarini to Arusha then to Dar.
Nina kazi maalum.

wauzaji tuwasiliane hapa hapa JF.Sitaki PM
Nitakuwa online au kuingia Jf mara kwa mara hadi jumatano ijayo.

Ongeza 8Ml nikuachie Harrier!!!!!!
 
Dar ckufich utapata kimeo agiza nje nimesha pokea kama gar tatu tola japani safe ingia hapa ucheki kwa agencies hyu www.beforward.com.jp au nicheki kwa msaada zaid au kama unauza sura tu oky.
 
nenda kanunue spacio au vitz tu.

kama unajiamini ongeza 2mil uletewe subaru forester ya ukweli.
 
Loh, unajua tatizo ni jinsi wewe mwenyewe ulivyoweka tangazo na kujihami kwingi ndiyo maana watu wengine wameanza kukuzingua pm (kama ni kweli, lakini siamini kama ni kweli!). Kwa haraka uliyonayo ni ngumu kupata hizo gari kwa hiyo bei! Usingekuwa na haraka wala hauna haja ya kusikiliza hizi kelele za watu wanaponda hicho kiduchu ulichonacho unaweza kupata gari nzuri tu, last time nimeuza xtrail 1.05M, imesimama sana na namba yake ni B, imetembea km 120K, mpaka leo niliyemuuzia anashukuru vibaya mno.

Jomba hapo kwenye bold hapo mmmmh..!!! Hata pikipiki ya kichina hupati...
 
Mkuu Baba V mbona uyu anatudhalilisha hivi na magari yetu? Yaani ameambiwa gx100 iyo? Hebu mwambie bei zake bana

Huyu kapenda gari lakini hajaijua thamani yake...afu kuna watu wanampa moyo kuwa atapata... inaweza ikawa gari imepata mtu na si mtu amepata gari... baadae ikawa ugonjwa wa moyo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Baba V mbona uyu anatudhalilisha hivi na magari yetu? Yaani ameambiwa gx100 iyo? Hebu mwambie bei zake bana

Hahahaha, anawadhalilisha siyo!..umenikumbusha wakati gx110 zinaingia jamaa aliumizwa 18M wakati huo mimi 13M gari mpya kuliko yake jamaa aliumia sana.
 
Watu mna Harrier & X- Trail mnachoooonga!! Hv mngekuwa basi hata Vogue au hata Amazon si ndio mnge mharishia maneno zaidi dada wa watu!
 
Watu mna Harrier & X- Trail mnachoooonga!! Hv mngekuwa basi hata Vogue au hata Amazon si ndio mnge mharishia maneno zaidi dada wa watu!

Humu JF watu wanakuja kutishana hawana nia ya dhati ya kitu wanachoandika ndio maana watu wanatoa kejeli tu kwa watu wa dizaini hyo;-
1.Kuna mtu alikuja hapa ana mil200 sijui na ngapi alikuwa anataka ushauri afanye biashara gani sasa mtu kama huyo si anakejeli na ku beep watu humu?
2.Kuna mtu akaja humu anatoa mikopo hadi bil1
3.Kuna mtu akaja huku akawa anataka ushauri anunue vogue au gari nyingine(nimeisahau)

Humu kila mtu huwa analengo la kuweka masredi hayo ya ajabu ajabu mara nyingi wapo mawindoni kuwadaka wapenda mtelemko aka ubwete maana mtu kaanzisha sredi ana mil300 mtu kama huyu aki PM binti humu sidhani kama hatamkosa akichombeza ndio maana sie tunawapa makavu tu.
 
Viela vyenyewe mbuzi halafu unaleta jeuri kweli,tu milion 10 ndo ya kuleta ngebe humu? Eti sitaki pm siongezi hata sumni my a.s.s kama hauna hela acha kununua vitu vizuri,yapo ma TOYO,SAN LG yanakufaa,Harrier hata ya 3.0 haupati kwa 10,x-trail ndio usiseme!!! Hauna tofauti na viola aliyelimwa risasi ya bega.

Mkuu umeamua kumchanachana kama tambala bovu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom