Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

Mkuu kwa sasa Subaru ya 2005 manual itapatikana kwa bei gani! Aina ya Forester

Mkuu forester 2005 kupata manual i bahati, ndugu zetu wa kutoka bara hindi wanazipenda sana hvyo wanaziwinda kwa ajili ya sporting, lakini ikpatikana anzia 15-20M kutegemeana na hali ya gari mkuu.
 
acha kuleta utani. unabisha jambo usilojua uwa kila mwaka narudisha gari na kuchukua nyingine mpya kwa kuongeza pesa kidogo

Hata kama ndivyo ni umbulula kuwakashifu wenzio kwamba bado wanachukua Gari za 2000.... Ndio maana tukawa tuna wasiwasi na ujumbe wako.... Kama una uwezo wa kuchukua gari yeyote na ukawasema wenzio wasio na uwezo ni tatizo... Tuache na magereji yetu
 
  • Thanks
Reactions: FTP
Hata kama ndivyo ni umbulula kuwakashifu wenzio kwamba bado wanachukua Gari za 2000.... Ndio maana tukawa tuna wasiwasi na ujumbe wako.... Kama una uwezo wa kuchukua gari yeyote na ukawasema wenzio wasio na uwezo ni tatizo... Tuache na magereji yetu

watu wana majibu mabovu ya dharau dawa yake ni kuwajibu hivo hivo. mimi nimeshangaa watu kununua gari za 2000.
 
Aisee.. kama ni kweli una bahati sana ..jinsi shillingi ilivyoshuka thamani.. yaani Million 11 yako kwa Harrier ni kama dola 6,800 ikijumuisha CIF DSM + TRA + takataka zingine - Depreciation ... Ukirudi kinyume nyume...bei yake hiyo Harrier ni kama dola 3,000 ... Hongera kama si kiini macho!

Na wewe na akili zako unaamini hizi ngonjera?

Rafiki yangu miezi miwili iliyopita amenunuwa Nissan X-trail kwa million 23 pale show room za may fair.

Kuna Toyota spacio new model iko njiani nimemuagizia mtu clearing agent ni rafiki yangu sana nimempa millioni 11.5 all inclusive ili yeye amalize all expenses.

Kama hiyo X-trail alikuwa anatumia mtu halafu yeye ndio kamvuwa mtu kwa million 11 ni sawa, lakini kupata gari hiyo show room kwa bei hiyo ni uongo wa mchana. Sidanganyiki.
 
nyie mnabisha kitu ambacho amjui. uwa narudisha gari nachukua nyingine mpya kwa kuongeza pesa kidogo. hayo ma used ndio mnakuja kununua nyie walala hoi

Kawadanganye mabar maid bana
 
It was a mere advice na kama lifikiri nimekubeza nisamehe hbr za magari nazijua sana hakuna faida kubishana ila nakwambia tu kama hayo magari ni imported from japani hiyo bei ni exclusive de tax. by the way is that yr first car? hongera
 
Kuna watu humu niliposema nimenunua TOYOTA harrier walinibeza na kudhani utani.
Sana nimecopy hili tangazo kutoka gazetini muone bei za magari .Ukubwa wa pua siyo makamasi!

Leo kwenye gazeti la MAWIO uk wa 12 nimesoma tangazo la kuuza magari mabalimbali yakiwwemo.

1.Nissan XTRAIL-9.8M 2001 MODEL
- Petrol Engine
-Automatic Gear Transmission
- Air Conditioned
-Imported from Japan
-Taxes &import duty paid

2.TOYOTA harrier-
9.8M 2000 MODEL
-5s Petrol Engine
- 4cylinder,fuel efficient engine
- Automatic Gear Transmission
--Imported from Japan
-Air conditioned
- Taxes &import duty paid

Fika kukagua hayo magari TABATA RELINI,MANDELA ROAD DAR ES SALAAM
Piga simu 0784 45 89 82

Habari ziwafikie hawa (nafikiri niwaite sijui wakuda)
Mavotah 123Kape
lowale Kaizer
Baba V TARIMO WA ROMBO
MTK Tripo9
Cynthia Chriss Mlayjr
Money Stunna mzurimie
King Kong III
Hahaha..ukishasikia fika kukagua hayo magari kwa bei hizo unadhani nini.....kusema tu izo sepcifications haina uhusiano na ubora wa gari...gereji zinakuhusu....

Aione King'asti
 
Last edited by a moderator:
Siongezi hata mia.niko mwanza hadi jumatano ijayo nikiwa safarini to Arusha then to Dar.
Nina kazi maalum.

wauzaji tuwasiliane hapa hapa JF.Sitaki PM
Nitakuwa online au kuingia Jf mara kwa mara hadi jumatano ijayo.


Update
Hongera kwa kukaa barabarani comfortably...
 
Nimepiga hiyo namba ya 9.8m haipokelewi.

Ila anaitwa Ann. Usiulize nimejuaje. Inawezekana ni yako FTP Unatuyeyusha
 
Mkuu forester 2005 kupata manual i bahati, ndugu zetu wa kutoka bara hindi wanazipenda sana hvyo wanaziwinda kwa ajili ya sporting, lakini ikpatikana anzia 15-20M kutegemeana na hali ya gari mkuu.

Duuh. Si mchezo
 
Nimepiga hiyo namba ya 9.8m haipokelewi.

Ila anaitwa Ann. Usiulize nimejuaje. Inawezekana ni yako FTP Unatuyeyusha

hahaha watu walioko serious na issue wasingeacha kupokea mkuu.......otherwise hizi zitakuwa scraper .....almost.

Na ambacho hilo tangazo la Mawio halijasema ni kuhusu "condition" ya hizo gari...are they in good, running condition, au zipo juu ya mawe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom