Nina 100,000 nahitaji mini laptop used

Swordfisher

JF-Expert Member
May 1, 2013
233
37
Habari gani wakuu?
Kama kichwa kinavyojieleza,naomba alie na laptop mini isiyo na DVD drive au yoyote inayofanya kazi, ani PM. Offer yangu ni sh. Laki moja.
Asanteni na siku njema.
 
Wakuu ningependa kuwataarifu kuwa laptop imepatikana tangu jana,ingawa ina matatizo ya betri. Sitajibu tena PM kuhusiana na swala hilo.
 
Wakuu ningependa kuwataarifu kuwa laptop imepatikana tangu jana,ingawa ina matatizo ya betri. Sitajibu tena PM kuhusiana na swala hilo.
Hongera mkuu kwa kupata ulichokuwa unakitafuta..!
Wengine hapa walikuwa wanakukebehi bila kutambua kwamba dunia hii ni tofauti kabisa na jinsi wanavyofikiria, kama kwako ni usiku kwa wengine ni mchana.
 
Nashukuru mkuu. Wengi wanadhani mahitaji yao yanafanana na kila mtu. Zamani desktop tulikuwa tunanunua kwa laki saba mpaka milioni, lakini uliza sasa,hata kwa laptop changes zinafika huko pia ingawa kuna brands ambazo huchukua muda kuwane/kuchuja lakini nazo hukumbwa na changes zitokanazo na kupitwa na wakati. Anyway ,nashukuru kwa michango yenu,hili ni jukwaa la wengi na linatusaidia wengi, hao mamilionea wanaosubiri mtu wa kununua laptop kwa milioni tatu, nao ni wenzetu pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom