black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Kaka ni mpya sio used.. nakuuzia bei ya mkononi kwa sababu tu haina box lake.Sasa unataka upige cha juu 400k bila huruma?
Kaka ni mpya sio used.. nakuuzia bei ya mkononi kwa sababu tu haina box lake.Sasa unataka upige cha juu 400k bila huruma?
Hahaaa eti wakiona hela wanaona kuku za kisasa.Nimefatilia huu uzi kila mmoja ana mawazo yake kuna wengine wanaona kama anaharibu pesa kuna wengine wanaona ni sehemu ya matumizi ya pesa.
KAMA HUNA PESA ACHA KUPIGA KELELE WATU WAKITUMIA PESA ZAO.
YAANI WATU WAMEATHIRIWA NA KUKU WAKIONA PESA WANAHISI NI KUKU,KIWANJA AU MTAJI.
Acha ushamba wewe..Tecno ni simu ya kutumia wakati huna hela ya kununua simu.
Acha wewe. Mpaka sasa 1.8 napata mpya haijafunguliwa. Sema natafta gold na iwe duo.Kaka ni mpya sio used.. nakuuzia bei ya mkononi kwa sababu tu haina box lake.
Imetoka tayarkwanza akuna samsung galaxy s8 "edge" plus
we liongooooo
Usubiri know xxEmbu tusubili mkuu
Uo ushauri ungeutumia wewe kwanza.Nenda fanya biashara achana na usuperstaa ww chukua
Laki 40,000
Nunua Tecno CX
Then Millioni 1 anzisha biashara ww,
Shauri yako utakuja ukumbuka ushauri wangu.
Nenda Harbour View towers ndan kabisa kuna jamaa ana being hyo 1.8Mkuu nmeongeza 1.8m. Maduka yote waliyonayo mwisho ni 2.lm
Asante mkuu nimepata tyarNenda Harbour View towers ndan kabisa kuna jamaa ana being hyo 1.8
Ukiona mtu analialia sana anapotaka kununua kitu ujue hajiamini ktk utafutaji wakeDhana ya kuniambia et mpk nijenge, sijui nikamilishe kila kitu ndo nimiliki High end smartphone au kitu chochote cha thaman ninachokipenda n upuuzi, na mm naamin hii n kwam mtuu ambaye hajiamin ktk utaftaji wakee, yan akipata anahis kabahatisha kwaio hatopata tena, km unajijua n fighter, unaweza tumia any amount of # at any time, isipokua tuu nisimkufuru mungu.
Ninatamani sana kumiliki S8 plus. Nina nina 1.5 million. Je naweza pata hata used one?
Aliyenayo anitafte tufanye biashara.
Nahitaji hii simu haraka iwezekanavyo.
Pia anayetaka s6 edge kwa laki tano tu aje nimpe. Ni gold. 64gb
UPDATE. 9/5/2017
Nimeongeza dau hadi 1.8m jamani.
UPDATE. 13/5/2017
Hatimaye leo nimeipata hii simu kama nilivyotaka.
![]()
![]()
![]()
Nawashukuru wote mlionitafuta inbox na kunipa conection wapi pa kuipata hii simu.
Fundisho. Ukitaka kununua kitu fanya research kwanza hasa hivi vitu vya electronik. Hii simu maduka kama vile ya Samsung bei zao si chini ya 2.1m. Ila nimezunguka na kusakanyua kila sehem na kuipata kwa 1.8m.....mpyaaaa.
Secondary? utakua na nyota ya jela wewe!Hii huwa nahonga watoto wakike wa secondary. Sasa mi ndyo nitumie iyo!
Acha ushamba weweSikia edge ni samsung na plus ni kwa iphone chukua hiyo bro
Tecno ni simu ya kutumia wakati huna hela ya kununua simu.