Nina 1.5m, je naweza pata Samsung Galaxy s8 edge plus?

Nina 1.5m, je naweza pata Samsung Galaxy s8 edge plus?

dah ujana raha sana.... 1.5m mtu anaipeleka katika simu wakati wengne 1.5m wanaitafta wapate mtaji wa kuagiza matunda toka mombasa... enzi zangu nlikuwa na matumizi kama haya ila leo yananighalim but natumaini kywa mtoa mada na supporters mmeweka akiba ya uzeeni ili yasiwakute yanayo tukuta kaka zenu.. ahsante
 
IMG_20170511_192009.jpg
Upo dunia ya wapi ndugu?
39cb1c5a117ebe80847ae0da38c55bfb.jpg
 
dah ujana raha sana.... 1.5m mtu anaipeleka katika simu wakati wengne 1.5m wanaitafta wapate mtaji wa kuagiza matunda toka mombasa... enzi zangu nlikuwa na matumizi kama haya ila leo yananighalim but natumaini kywa mtoa mada na supporters mmeweka akiba ya uzeeni ili yasiwakute yanayo tukuta kaka zenu.. ahsante
Dah. Umaskini bwana. Sasa unafikiri hii simu imetengenezewa wazee?
 
Duuuh halafu kuna vijana wengine wanalilia mitaji....ama kweli kupanga ni kuchagua
 
Ninatamani sana kumiliki S8 edge plus. Nina nina 1.5 million. Je naweza pata hata used one?

Aliyenayo anitafte tufanye biashara.
Nahitaji hii simu haraka iwezekanavyo.

Pia anayetaka s6 edge kwa laki tano tu aje nimpe. Ni gold. 64gb

UPDATE.
Nimeongeza dau hadi 1.8m jamani.
Ni 1,980,000/= mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom