Nina 1.5m, je naweza pata Samsung Galaxy s8 edge plus?

Nina 1.5m, je naweza pata Samsung Galaxy s8 edge plus?

Dhana ya kuniambia et mpk nijenge, sijui nikamilishe kila kitu ndo nimiliki High end smartphone au kitu chochote cha thaman ninachokipenda n upuuzi, na mm naamin hii n kwam mtuu ambaye hajiamin ktk utaftaji wakee, yan akipata anahis kabahatisha kwaio hatopata tena, km unajijua n fighter, unaweza tumia any amount of # at any time, isipokua tuu nisimkufuru mungu.
 
Njoo nikupe iphone 7, 128GB nimetumia mwezi mmoja tu kwa hiyo 1.5m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom