Nimwambie Ukweli?

Na hata kama unapenda mtu hadi unakua huoni unaangalia na hapo unapopenda

Alipaswa ajifunze kumuacha aende

Madame S
Watu wauachie moyo usukume damu, kupenda siku hizi yapaswa mtu aihusishe akili...
 
Ngoja upate ulemavu kwa ajili ya kipigo ndio akili zitakurudi.

Unaonekana unapenda vitu vya bure sana wahenga wanasema vya bure vinaua.

Kuna mdada aliharibiwa kizazi alisimulia humu ndani kisa cha wanaume wenye gubu kama la huyo man" baadae akamuacha sasa na wewe ngoja yakukute ili upate ajili.
 
Reactions: BAK
Kuna watu wavumilivu wa uvundo ukisingizia mapenzi mie hata aombewe msamaha na Mzazi nikisema sitaki ni full stop
huu ujinga kuendekeza sijui ananitia vizuri anajali ni ulimbukeni daraja la 1
Atakuvunja mbavu au aje akupige ukiwa na Mimba ukatolewe kizazi akukimbie akaoe kigori mwingine
 
Nikilinganisha mapenzi anayonipa na yale niliyoyapata kwa X wangu namwona kama alitumwa anipe faraja ya mapenzi.Lakini hivi vipigo ndio vinanikimbiza.
Naogopa kumwacha moja kwa moja alafu nikakutana na mwanamme kitombi kama yule niliyeachana naye.
 
Ahsante kwa ushauri wako.
 
Niliamini atabadilika
 
Duh! Nenda police haraka mapenzi hayawi hivi ya vipigo vya kufa mtu kila mara. Nina hakika umeficha kuhusu kuumizwa kwa vipigo mara nyingi na kuishia kujiuguza au kwenda hospital na kudanganya madaktari. Waambie ndugu zako kisha kamripoti polisi vinginevyo anaweza kukuua huyu. Wivu kwenye penzi ni kitu muhimu lakini si wivu wa kiasi hiki. Kwa faida ya wengine ni vizuri huyu ukaweka ID yake hadharani hayo ni mawazo yangu ambayo wengine wanaweza kutoyaafiki.


 
Naam nakumbuka ule uzi katichi alikuwa na bahati hakupoteza maisha lakini kupoteza kizazi nalo ni jambo kubwa sana.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…