Nimwambiaje?

Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?

Kwani tulikubaliana uje useme hapa???
 
mmmh thx love leo ngoja nikafanye hivyo maana!anavyopenda tam khaaaaa
My dear Pearl,sitakuambia kitu ambacho sitafanya,nimegundua kutoka kwa mwalimu Rose hawa wanaume wametofautiana,mi nachojua Konyagi ina nguvu na wengine hulala tu,sasa nimegundua kuna wanaume Konyagi si issue kama asemavyo mwalimu Bacha,ye kaunga mkono hoja ya Rose,sasa tuangalie options nyingine,but i would have done what i advised you!
 
hebu niambie ile wine unayokunywaga,
nazuka leo pale kivulini,
kuna viparcel nimepewa hapa,
naona vitakufaa!!!
eeh jaman we bacha handasm..mi nakupenda kweli kwei..UNAKUJA SA NGAP SASA?
UNA VIAPASEL ENNH..WELCOME BEB..
 
ah ah ah wakunyumba lol vp lkn mafuta ya kupikia,au alizet?sidhani kama anaelewa maana ya pamadaku lol

ATAJULIA WAP...
duu ya alizet unataka kumkaanga?
tumia petrol km akijfnya mgumu sana..!!!!!!!
 
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?

Konyagi mzinga wa pili? huyo atasahau hata kuomba huyo
 
Konyagi mzinga wa pili? huyo atasahau hata kuomba huyo
Umeonaeee!!!
Mimi mtumiaji wa hii makitu............Nakwambia hatasahau kuomba tamu, na akipewa ujue 2-4hrs atakuwa anabadilisha style tu!!

Dont quote me.
 
niko job mpz nawaza itakavyokuwa nikirudi hme maana siku akitaka mechi kali dalili naziona tangu jana yake yani leo hata sielewi
hivi sasa hivi ni sa ngapi? we pearl hujaenda job? na shemeji je?
 
haha hhaa mmh km ukimkamua fresh kwa mkono akatapika ahh mbona wanatulia sana tu..wewe mkamue fresh kwa mkono km akiwa mkaidi ukishka mic dk 5 nying atacheua tu....BT MKONO NA VIFUTA KDG ni poa mic atakuganda mpk aende madina...!!!!!!:car::car:byee

sio wote wako hivo dk 5 tu!
wengine wabishi kwelikweli,
isitoshe inategemea na dizaini ya huo ushikaji wenyewe wa mic!!!!!!!
 
Umeonaeee!!!
Mimi mtumiaji wa hii makitu............Nakwambia hatasahau kuomba tamu, na akipewa ujue 2-4hrs atakuwa anabadilisha style tu!!

Dont quote me.

niko job mpz nawaza itakavyokuwa nikirudi hme maana siku akitaka mechi kali dalili naziona tangu jana yake yani leo hata sielewi

Jamani saa sita hii jamaa lina mzinga wa pili halafu utamu bado uko job, hata utamu ukitoka job saa nane jamaa litakuwa na mzinga wa tatu....sasa je kweli na mizinga mitatu kichwani jamaa litakumbuka hata kama lina mke?
 
OK OK!
mimi napita bana
mimi huyooooooooooooooooooooooooo:car::car:
 
sio wote wako hivo dk 5 tu!
wengine wabishi kwelikweli,
isitoshe inategemea na dizaini ya huo ushikaji wenyewe wa mic!!!!!!!

madai et unajua sana KUSHIKWA MIC...kwan wengne wanaishika kwa vidole viwil na wengne mikono yote miwl..?
au wengne wanaishka na kisigno wakt wa wanahutubia >>>?:car:byeeeeee
 
niko job mpz nawaza itakavyokuwa nikirudi hme maana siku akitaka mechi kali dalili naziona tangu jana yake yani leo hata sielewi
hivi sasa hivi ni sa ngapi? we pearl hujaenda job? na shemeji je?
 
Back
Top Bottom