Nimwage siri?

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
Kuna siri kubwa sana nataka niitoe lakini nahofia usalama wangu. Vipi niitoe?
 
usiturushe roho sie..... wamuogopa nani hapa?
 
Unajua mafumbo.
Wakaa mombasa weye.
OTIS.
 
subiri mkutano wenu wa kuvuana magamba part 3 uanze ndio ukatoe hiyo siri yako huko kwa wanafiki wenzako na wala sio hapa, usitoe
 
Wewe Mod uliyeileta hii thread huku naomba uifute tu. Asante kwa uelewa wako!
 
Wewe mod uliyehamisha hii thread naomba uifute tu
 
Huna siri yenye hadhi ya kumwagwa JF, labda ya chumbani kwako ukamwage kule kwenye udaku, ila jihadhari mkeo akijua usalama wako utakua mashakani
 
Wewe Mod uliyeileta hii thread huku naomba uifute tu. Asante kwa uelewa wako!

kwani mkuu uliiweka wapi?kwa hiyo hiyo siri umeahilisha?ninong'oneze mimi mlicho mfanya zitto.ntumie pm.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…