Nilitoa mada majuzi juu ya tukio la mke wangu kuwasiliana na ex wake. Naeleza jinsi nilivyomkataza mimba akiwa na miezi miwili na nikagundua bado mawasiliano yapo mpaka imefikisha miezi saba. Nikagundua yaliyojificha, kwamba yule jamaa alitakiwa na yeye ana mimba yake na mke wangu. Wakaenda kupima na wakagundua ni kweli, lakini jamaa akagoma kutokana na muda waliokutana ulikuwa ni siku tano nyuma na mke wangu ndiye aliyemfuata na kudai ana mimba yake.
Nilichofanya ni kumpiga makofi mke wangu mara kumi na kumwondoa kwao. Leo napigiwa simu na ndugu zake wakiomba msamaha kwangu kwa sababu maisha ni magumu sana kijijini. Kama jamaa aliikataa mimba, mawasiliano bado yaliendelea, na yeye anadai kuwa jamaa ndiye aliyekuwa anamsumbua.
Ni kweli kwamba wanaume wanachepuka, lakini siyo kuleta mimba za wasiwasi nyumbani. Bado anang'ang'ania kuwa mimba ni yangu.
===
Pia soma
Nilee mimba au nimwache?
!
www.jamiiforums.com