Nimvumilie mume huyu au nimuache?

kuwepo kwangu had sasa n ishara tosha nafata mafundisho niliopewa otherwise nngekuwa nmeondoka muda tu.
na hata kama kuna tatzo solution n kutatua lakn c kufanya visa hv,mwisho wake utakuwa nn baada ya visa!
 
Hakuna kitu kibaya kama wivu wa kupitiliza yani. Huwaga kero kabisa....as long as mnapendana, hakuna haja ya kumkimbia, kwanini msikae chini umweleze kuwa wivu wake mkali ni kero kwako.
 
sijabahatika kupata mtt
anakunywa ila c mlev wa makelele n wa kistaarabu tu
tumeshirikisha wote had viongoz wa din na mara nyingne huwa hatokei akiitwa.na hata wazaz wake hawaogopi wanaweza ongea nae akasoma gazet na hafat hata yanayoamuliwa,ana kajeur fulan cha vijisent
 
hakuna haja ya kulinda ndoa ambayo haipo.kuna ndoa gani sasa mwenzio kila kitu chake? Kwanza tafuta kazi,ukiwa na kipato chako binafsi atakuheshimu. Pili tafuta jinsi ya kuongea naye na kumwelewesha madhara ya iyo tabia yake kwenye ndoa yenu,ikibidi kuhusisha wazee wa familia au dini fanya ivo. Tatu kisipo eleweka chapa lapa,asikuzeeshe.
 
nmejaribu yote hayo kwa miaka 4 cjaona tofaut,pil c mtu wa kupenda kukaa na kutatua jambo kwa maongez akiamua ameamua
 
Kweli wewe dadamnyonge, na utabaki kuwa myonge. Mtu kahama chumba anarudi sa 8 - 9, hana muda na wewe bado unasema una mume hapo! Umri wako bado mdogo nzuri zaid hata hujazaa, fungua macho dada, acha unyonge go! kufunga ndoa kanisani isiwe tabu
 
sijabahatika kupata mtt
anakunywa ila c mlev wa makelele n wa kistaarabu tu
tumeshirikisha wote had viongoz wa din na mara nyingne huwa hatokei akiitwa.na hata wazaz wake hawaogopi wanaweza ongea nae akasoma gazet na hafat hata yanayoamuliwa,ana kajeur fulan cha vijisent


nani aliweka msukumo wa ndoa ni wewe au yeye au kuna mtu alilazimisha??
 
rose........................... naona umekuwa mkali kweli..................... mwache mwenzio aendelee kuvumilia bana............. maisha marefu sana haya, mambo yake yatajipa yenyewe mbele kwa mbele.................


stak uchokozi wako masikini...ntakugeuza kuwa tajir shaur zako:lol:
 
He yaani mpaka kahama chumba?? Bado umekaa tu unasubiri nini???
Anarudi saa 8 or 9 usiku are you serious?? Ni mlevi?? Je! anakuwa anatoka wapi??
Mahusiano ya nje?? Unajua??

We chukua hatua si mpaka kwa hisani ya watu wa marekani ndo uelewe
Chapa mwendo Ndoa ndoa ndo nini??? Waliachana kina Winie Mandela ije kuwa wewe??
Yanini ujipe matezo duniani wakati bado unajipenda?? Tena una degree halafu unailalia
Tu kitandani?? Halafu we mwanamke wa wapi wewe bado umelala mpaka leo
Eti unanyanyaswa umekaa tu?? Hivi husikii hata wanaharakati wanavyosema??
Wanawake wanaweza??? Hebu funguka macho wewe acha kulegea ahhh
Cha uzembe kama huo bana............


msisitizo mkali huo
 
That is the other side of the coin as there must be some driving forces whether subjective or objective!
Samahani kidogo, kama tukimpata huyu mwenza wako na kumuuliza aseme kuhusu wewe na anavyoona unafikiri atatuambia nini kuhusu kiini cha tatizo?
 
Samahani kidogo, kama tukimpata huyu mwenza wako na kumuuliza aseme kuhusu wewe na anavyoona unafikiri atatuambia nini kuhusu kiini cha tatizo?
Mwanakijiji akipatikana huyo mwenza akaongea unaweza kusema afadhali ya huyo mwenza maana kila mtu ana matatizo yake yanayochangia kwenye mgogoro huu
 
n yeye ndo alitoa wazo na hakulazimishwa na yoyote na kipind hiko m nilikuwa chuo bado na n mwaka huu ndo nmemaliza
 
Pole sana dada yangu kwa misukosuko katika maisha!ila naomba ufaham mambo mawili
1)Ndoa ni wito wa Upungufu na hivyo suala la uvumilivu ni lazima!
Si watu wengi wanaojua kwamba ndoa ni wito wa mapungufu pia. Maandiko yanasema ‘ Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.(mwanzo 2:24)

Ni dhahiri kwamba watu wanapooana wanakuwa wametoka katika asili na malezi (background) tofauti hasa kutokana na mazingira waliyokulia. Ile tu kwamba huyu anatoka katika familia hii na huyu ile, fahamu kwamba lazima kutakuwa na tofauti kadhaa katika ndoa hiyo. Naam tofauti zenu ndiyo sehemu ya mapungufu kwenu kama wanandoa. kwa sababu wewe ungependa mwenzako awe hivi na yeye kuna vitu ambavyo angependa vibadilike kwako.

Na wala usije ukajiona wewe upo kamili, naam kwa upande wako unaweza kuwa sawa lakini kwa mwenzako, hauko kamili. Ni vizuri ukafahamu kwamba unapoingia kwenye ndoa, utakabilana na mapungufu ya mwenzi wako. Kwa sababu hii suala la uvumilivu, kuchukuliana, kusameheana kwa wanandoa ni la msingi ili kufikia mahala pa kutengeneza tabia au mfumo mpya wa ndoa yenu.

2)Haijalishi mwenzi wako anatabia mbaya kiasi gani, Yesu anaweza kumbadilisha
Jambo la pili ambalo nimeoana vema kusisitiza ni kwamba wewe mama ambaye ndoa yako ipo kwenye misukosuko, usifike mahala pa kukata tamaa na kuamua kuishi kwa kuzikubali tofauti zenu kama sehemu ya maisha. Kwa kufanya hivyo utakuwa unamzuia Roho Mtakatifu kukusaidia kuiponya ndoa yako. Ni lazima kwanza ubadili fikra zako na mtazamo wako kwamba, kwa Mungu hakuna lisilowezekana na hivyo haya si maisha yangu ya ndoa ninayostahili kuyaishi.

Kwa Mungu sisi tu watoto wake. Hakuna Baba mwenye kufurahia kuona maisha ya ndoa ya watoto wake yanakuwa ya majuto. Mungu alipoleta wazo la ndoa ilikuwa ni kwa ajili ya kusudi la ufalme wake na kuwa furaha kwa watoto wake na si majuto. Nasikitika kusema leo, ndoa nyingi zimekuwa ni majuto na si kile Mungu alikiona wakati wa uumbaji hata akasema, kila kitu nilichokifanya ni chema sana (Mwanzo 1:31).

Kwa kilio kilichopo kwenye ndoa hivi sasa ni dhahiri kwamba kuna mahali kama wanandoa tumekosea na kumpa Iblisi nafasi (Waefeso 4:27) hata ameleta majuto kiasi hiki. Ushauri wangu ni kwamba ni vema kila mwanandoa akasimama kwenye nafasi zake (Mwanaume kama kichwa na Mwanamke kama Mlinzi na Msaidizi nk) kwa pamoja tumpinge Shetani naye atatukimbia. Endapo mwenzi wako hayuko tayari kwa hili au hamjui Mungu wako, basi wewe mwenye kujua siri hii kama anza, maana kwa Mungu mtu mmoja anatosha kuleta uponyaji wa Taifa, je si zaidi ndoa yako? Naam usikate tamaa, Mungu wetu, ni MUNGU ASIYESHINDWA.
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][/FONT]
 
nmejaribu yote hayo kwa miaka 4 cjaona tofaut,pil c mtu wa kupenda kukaa na kutatua jambo kwa maongez akiamua ameamua

ahh anajifanya kidume full?
alitahiriwa na shoka?
pumba.v.u zake...wewe huyo akutak dada ...
kurud sa 9
kahama chumba
hana tyme na wewe
sa unasubiri nin?

ata hao madikteta unaowasikia akina mussolini sjui hitler walikuwa wanawasikiliza wake zao...wanazungumza na wake zao...wana tyme na wake zao...sasa YE NANI WA KUJIFANYA ASIKILIZ.HAAMBIWI WALA HASHAURIKI?..m tellng u kuna sehemu ambayo anatiii yote anayoambiwa ..infact anaamrishwa fanya ivi usifanye vile yaan anaendeshwa afu et anakuja kwako anajifanya komando ushuzi asiyeskia audio wala vdeo atak kuona?PAMADAKU.

ukiona mwanaume anafanya ivo it means HAKUTAKI.kuwa na nyumba ndogo sio issiue ,anaweza kuwa na nyumba ndogo na bado akakutrit na kukupenda km malkia wake....kuna mdada mmoja aliambiwa mme wake anafyodoa nje ahh akawajibu ili mrad anawai kurud.ananiheshimu.ninachotaka napata. na ananisikiliza ahh poa tu ngoja tu nkamwambie asisahau condomu uko anakokwenda....


uyo akutak dada...KATUMIA VTENDO KUKUPA SOMO...afu bado aujazaa nae ahh raha tupu yaan apo nasepa uku naimba mapambio kwa raha zangu...HANITAK JAMAN SASA NIFANYEJE?
 
cna hakika nn kikubwa atasema
koz hajawah kunifumania ukiacha kuhis yan yeye tatzo dogo ananuna hata mwezi.hata ukiongea na mtu ambae yy n mgomv wake n kosa kubwa na mtaliwekea vikao
 
sijabahatika kupata mtt
anakunywa ila c mlev wa makelele n wa kistaarabu tu
tumeshirikisha wote had viongoz wa din na mara nyingne huwa hatokei akiitwa.na hata wazaz wake hawaogopi wanaweza ongea nae akasoma gazet na hafat hata yanayoamuliwa,ana kajeur fulan cha vijisent

pole mdada...
kwa ulichoongeza hapa, sina cha kukuambia zaidi ya kwamba break up inakuhusu...
 
Mwanakijiji akipatikana huyo mwenza akaongea unaweza kusema afadhali ya huyo mwenza maana kila mtu ana matatizo yake yanayochangia kwenye mgogoro huu

mara nyingi tunasikia upande mmoja wa shilingi
 
sijabahatika kupata mtt
anakunywa ila c mlev wa makelele n wa kistaarabu tu
tumeshirikisha wote had viongoz wa din na mara nyingne huwa hatokei akiitwa.na hata wazaz wake hawaogopi wanaweza ongea nae akasoma gazet na hafat hata yanayoamuliwa,ana kajeur fulan cha vijisent

ehh sasa anajiskia ivo jaman ata wazaz wake hawasikiliz?
uyo MFU.wazzaz wanakuongelesha we unasoma gazet dah hi hatar..sasa unaishije na mtu mwenye madharau km huyo>??

yaan dzain anakudharau zaid ya chooo..km wazaz wake anawadharau ivo sasa jipimie wewe upo rank gan?
 
cna hakika nn kikubwa atasema
koz hajawah kunifumania ukiacha kuhis yan yeye tatzo dogo ananuna hata mwezi.hata ukiongea na mtu ambae yy n mgomv wake n kosa kubwa na mtaliwekea vikao

inawezekana hujawahi kufumaniwa lakini umetengeneza mazingira ya kutokuaminika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom