Nimueleze ukweli au nikae kimya..

Nimueleze ukweli au nikae kimya..

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.

Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.

Naombeni ushauri wenu.
 
unataka kurusha jiwe kwenye mti halafu unaenda kwanza kuwashitua then baadae ndio ukawapige? we unachekesha sana.

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
 
Mkuu mbona hilo halihotaji kupiga chabo jibu unalo kabisa.
Kama unataka kumwambia kabla ya kumgegeda nitumie # zake hiyo day.
 
Tumia akili zako za kuzaliwa kujishauri.
 
Nipe namba zake nikusaidie kumwambia ukweli kwamba umeoa una mke na mtoto na nimwambie Mme wa MTU ni sumu awe makini
 
Ni vyema huyo binti akakukimbia mazima kuliko MUNGU unaemtumikia akakumbia mazima. Wahenga wanasema NGUO YA KUAZIMA HAISITIRI MWILI, tafadhali mpende huyo mwanamke unaeishi nae.
 
Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.

Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.

Naombeni ushauri wenu.
Muache binti wa watu, unatamaa tu Huna lolote watu kama nyie sizipendi tabia zenu huna hata haya umuharibie tu binti wa watu future. Wewe tulia na familia yako sijui Wanaume wengine mkoje. Huoni aibu unaomba ushauri ili utushirikishe uzinifu wako bado ni dhambi na utavuna unachopanda. Muambie ukweli huyo binti na muache na maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.

Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.

Naombeni ushauri wenu.
Mungu wangu! Yaani ungekuwa karibu ningekurabua kofi la kelbu!
Huwezi shindwa kupata jibu la swali lako jepesi kama hili!!!

Sent by Ubavu
 
Kuna baadhi ya vitu unajiuliza hivi kweli vinajitaji kuomba ushauri kwa watu? Taabu ya wavulana kukimbilia majukumu ya Wanaume ndo hii sasa.

Hili jambo nadhani yule mama aliye nyumbani na mtoto yupo kwenye position nzuri zaidi ya kushauri
 
Back
Top Bottom