Nimueleze mjomba wake?

Duh!!!
 
Unashindwaje kutumia mamlaka uliyonayo,? labda kama bado hujaolewa rasmi
mwambie anachokifanya hupendezwi nacho

Anapokudharau ww anamdharau mjomba wake pasipokujua

Kama ameshindwa kuwaheshimu aondoke akaolewe ameshakuw mkubwa anasubiri nini??




'Gear yourself to solutions in every problem'
 
hahaha hapo ndipo unagundua watu walishavurugwa kitambo wanasubiri mtu wa kuliamsha dude wafanye yao

'Gear yourself to solutions in every problem'
 
Yaani mgeni aje kwangu halafu anipande kichwani haiwezekani kabisa lazima afate masharti ya nyumbani kwangu.
Nami ndio nashangaa,kama yuko kwa mjomba asijisaulishe kuwa we we ni mkaza mjomba,Yani ningekuwa Mimi namtimua maaapeeeemaaaa maana ukicheka na mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya vitu nachukia ni kuoa mwanamke amezubaa kama mleta mada.
MIMI
 
Inaonyesha kabisa wewe na mumeo mnaishi kwa hisani ya mama yake huyo binti (wifi yako)

MIMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…