Nimueleze mjomba wake?

Angekuwa mwanao ungefanyaje?

Sema matabia yenu ya kupenda kushindanashindana na kutoana kasoro na ugomvi wa kijinga..

Hapo tatizo kubwa ni kuingia chumbani na una option ya kufunga mlango wako MDA wote...

Mengine hayo ni roho mbaya zenu za kiasili na kushindwa kuvumilianaga tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya matusi wewe utakuwa mwanamke wa dar uswaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeolewa na upo kwako unashindwa kuwa na maamuzi? au na ww bado mtoto? ,,,kwanza ndg wengne nao shida tu .ndoa ndo ina miez mshaanza kujazana kwa watu ,.mtu hata ashindwe kupumua . asee mi nakutimua fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe unalea maradhi hayo na yatakucost andika ratiba ya chakula asiyetaka asile siku ukitaka kuipindisha ni wewe mama mjengo mie sicheki na nyani ratiba usiku lazima walk maharage yawepo na nyama au samaki au utumbo na mboga za majani kama huli lala njaa yaani tusifanye maendeleo kwa kukuendekeza mpita njia
Hao wabaya mkija kuwa na hali mbaya ndio wa kwanza kuwacheka na kujidai ohh mlikuwa mnajiona na maisha mazuri
Dada panga ratiba yako nzuri mchana ugali kama haupandi kunywa maji
Wale vizuri ila unachopanga wewe sio kupangiwa mwanamke nyumba usikubali kuendeshwa
Ushindwe wewe
 
Mpenz....mi binafsi hua nanunua chakula Cha jumla ndani napoishi sokon mbali so nanua vitu, mboga hata za wiki nzima Sasa ukipika mfano Wal maharage yeye anachukua samaki anapika

Friji haina funguo shangazi yangu mpaka leo anafunga mlango wa jikoni mwanzo alikuwa anafunga friji akabadili chakula akipika anaweka mezani jikoni anatia kitasa funguo
 
umeolewa na upo kwako unashindwa kuwa na maamuzi? au na ww bado mtoto? ,,,kwanza ndg wengne nao shida tu .ndoa ndo ina miez mshaanza kujazana kwa watu ,.mtu hata ashindwe kupumua . asee mi nakutimua fasta

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti ndani kwako unashindwa kutembea na chupi ndoa mbichi
 
Ushauri wangu Kama mwanaume...HAPO UNAISHI NA MKE MWENXIO NI SWALA LA MDA TU UTAKUJA KUGUNDUA UKWELI...maamuzi yyt amua Sasa bado mapema.wanaume tushavurugwa tunatembea na yyt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa ninavyojua mm nyumba ni ya mama, kama ww ndiye mke kabisa, huwezi kuvumilia huo uozo. mwanamke anayemwangalia kuanzia mavazi, kula na kulala mume wake, asilimia 100% controll ya nyumba ni yako sasa unalia lia kama demu guest ni uvivu wa kusimama kwenye nafasi yako. Mimi mwanamke kama ww nakuona una mapungufu maana jambo hilo ni dogo sanaa kuliweka sawa, labda kama icho kitoto ni mke mdogo.
 
Ratiba nzuri ila sio rafiki kipindi Cha mjomba magu,utajipa stress tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeolewa na upo kwako unashindwa kuwa na maamuzi? au na ww bado mtoto? ,,,kwanza ndg wengne nao shida tu .ndoa ndo ina miez mshaanza kujazana kwa watu ,.mtu hata ashindwe kupumua . asee mi nakutimua fasta

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti ndani kwako unashindwa kutembea na chupi ndoa mbichi
 
Anaogopa kumkaripia ataenda kusemwa kwa mama mke na mawifi wwatamchukia,.

Hata kama atafanya kwa wema, kulinda uhuru na siri zake kama mkee wa mjomba Dogo ataona anaonewa mwisho wa siku vitimbi , ndo anaogopaaaa

Mtoa mada um3olewa au jamaa kakuchukua tuu kakuweka ndani??Bila ndoa bila kufahamika kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri huo
Anatakiwa kuwa kwa mumewe au mchumba.
 
Unaolewa ndani ya miezi miwili ya ndoa tyr unaishi na mwanamke mwenzio tena wa miaka 25!!!!! Mnabanjuana-ga kimya kimya kama mabubu!!?
 
Dah, watu wanajua kuchamba


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…