Nimueleze mjomba wake?

Ajabu sana, maana km ni hela inakaa chumbani tena kwenye mkoba na inatoka kwa mahesabu. Sasa inakuwaje mtu anajipikia tu anavyotaka?
Ht huku mikoani hatuna huo utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpenz....mi binafsi hua nanunua chakula Cha jumla ndani napoishi sokon mbali so nanua vitu, mboga hata za wiki nzima Sasa ukipika mfano Wal maharage yeye anachukua samaki anapika
 
Mimi huyu wa kwangu Kila akitoka anarudi na marafiki zake ata 4 hv anakuja hata akutambulishi wanapakua ulichopika wanakula wanaondoka
Hahaha kweli wapole tunapata tabu sana..mwambie Mme wako hayo yote nkiwa peke yenu..shusha mashaka yote..halafu mpe msimamo wako aamue huyo binti aondoke au amkanye ajirekebishe.
Kuwa mkali aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pele limepata mkunaji!!!sipati picha angekukuta wewe
 
Maimatha !! Nmesoma mara nne, uzi wako huu.


Nasijawahi soma uzi kwa jukwaa la MMU zaid ya mara mbili.

Nachoweza Kukuhakikishia wewe na WanaJF wengine nikwamba
Wewe mwenyewe ni Bonge la Tatizo na Jipu linalohitaji kupasuliwa ili uwe sawa .

Usipofanya mabadiliko. Niwazi ndoa itakushinda. Na hii inaonyesha ktk safar yako ya kimaisha hususani mahusiano ulikua Mwingi wa MATATIZO.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Maimatha !! Nmesoma mara nne, uzi wako huu.


Nasijawahi soma uzi kwa jukwaa la MMU zaid ya mara mbili.

Nachoweza Kukuhakikishia wewe na WanaJF wengine nikwamba
Wewe mwenyewe ni Bonge la Tatizo na Jipu linalohitaji kupasuliwa ili uwe sawa .

Usipofanya mabadiliko. Niwazi ndoa itakushinda. Na hii inaonyesha ktk safar yako ya kimaisha hususani mahusiano ulikua Mwingi wa MATATIZO.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Hapo ni kwako mkalishe chini na umpe utaratibu wa kuishi hapo.Huyo siyo MTT 25 yes ni MTU wa kuwa na kwake,haingii akilini anaingia chumbani kwako analeta watu nyumbani hatambulishi hz ni Tania za machokoraa.Asiposikia mweleze mjomba wake!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwiii
 
Nilikuwa na boyfriend wangu mmoja mpaka tukaamua kuserious akanitambulisha kwa ndugu na jamaa.
Kipindi ya mahusiano ndugu zake walinitendea mambo sivyo.
1.wasichana wako wa wawili hawapiki hata chai wao hutegea mimi nifanye kila kitu na wao wakifua wana mfulia kaka yao halafu wanasema nawewe unataka kufuliwa??
Heshima ni ndogo kwangu sana.
Siku moja akaja kwangu chumbani chaka kimeisha na tunataka kupika kitu nikasema hawa wananitafuta.
Niliamua kumvizia kila mmoja kwa muda wake niliwachapa nikawa na sema mimi ninani wewe ni mama wa hii nyumba so if nikisema lolote you have to follow right right so kuanzia leo kazi zako ni zipi kufua kupika na kufanya usafi wandani nakama hutaki utanipa kichapo tena.
So wakakoma na hata wakitaka kumleta mtu hapo ndani wanasema.
Kama umeolewa hiyo nyumba ni yako mchape huyo asikuzoe kama hakueshimu mtupie mabegi arudi kwao au aolewe ni mtu mzima enough wa kuwa na mume huyo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchambo heavy

Mtoa mada unapenda kuishi kimaigizo/ kinafiki yaani unaumia na unaonewa ila unaogopa macho ya mumeo na nduguze

Jiandae kuugua sonona



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…