Nimueleweje na nifanyaje?

Nimueleweje na nifanyaje?

Aante kwa msaada wako . Fr some reason simu yangu haionyeshi hicho kitufe na website yote . Sasa hivi nimeona kwa kutumia laptop. Asante sana.
 
Utampata wapi mwanaume wa hivyo karne hii.? Karne hii ukiamua kuingia katika mahusiano na pichu uamue kuvua..!


Then huyo si wangu . Aliye wangu kutoka kwa Mungu kama mmekubaliana ilitakiwa iwe hivyo na si kuvunja ahadi. Wote tulipendekeza iwe hivyo kutokana na mioyo yetu na maisha ambayo tuliyopitia . So kama yeye ameamua kuvunja ahadi na kwenda kupunguza pembeni hiyo ni shauri yake ila abakishe vya kesho na amake sure hilo swala la kupunguza halitotokea tena. Na kwanza labda nisijuee lakini kama nikijua amefanya hivyo there is no honeymoon wala mipango ya ndoa tena . Story ndio itaishia hapo . Asante .
 
Pole wee dada ila hakuna maumivu yasiyoisha eti huyo muache usimtafute tena coz ukiendelea kumtafuta ndo unavyoendelea kujiumiza wewe lakin ukikaa kimya ni rahis kusahau!pole lakin I know how it pains!
 
Pole wee dada ila hakuna maumivu yasiyoisha eti huyo muache usimtafute tena coz ukiendelea kumtafuta ndo unavyoendelea kujiumiza wewe lakin ukikaa kimya ni rahis kusahau!pole lakin I know how it pains!

asante sana.
 
Asanteni sana tuu . Nitawapa feedback anitafutapo huyo jamaa yangu . I hope hatokawia kwa maana akikawia itakuwa shida sana tena sana . Kwa sasa nimeamua nikae kimya na nimechukua some ya ushauri wenu na nitaufanyia kazi. Asanteni kwa ambao hawajachangia na wanataka kuchangia mnakaribishwa sana . Muwe na siku njema wapendwa Mungu awabariki siku zote na kuwatimizia haja za mioyo yenu. Nashukuru kwa kutumia muda wenu it means a lot to me . Nimefurahi sana kujiunga humu kunafurahisha sana . Asanteni sana na muwe na siku njema Ndugu zangu. Ninawapendeni wote .
 
Hello wana Jamiiforums

Mimi ni mwanamke Wa miaka 25-30 . Kama miezi kadhaa nimejuana na huyu Kaka ni mkarimu kwa Kweli na ni mcha Mungu, hii ndio sababu kubwa ambayo imenivuta kwake. Kitu ninachokipenda kingine yaani ananifanya na kuwa free kutania na kuchekeshana kwa sana ma hii Mimi huwa Napenda sana.

Okay sababu iliyonileta hapa ni hivi tuna week ya pili sasa inakwenda hela mawasiliano. Ninakuwa Nina wasiwasi kuhusu hali yake kwa maana si kawaida yake .

Nimepiga simu lines zake zote moja inaita ni ya kikazi Inakata tuu haipokelewi na nyingine ni private haupatikaniki. Ikabidi nimtafute Rafiki yake ambaye akishawahi kunitambulisha mwake na wanafanya kazi pamoja . Nimemuuliza akaniahidi kunifuatilia.

Alichoelezwa kawa Huyu MTU amekwenda likizo. Kumbuka hajawahi kuniambia kuhusu hilo na si kawaida yake. Mimi Bado sikuachia hapo nikaendelea kupiga simu ile ya kikazi kuna MTU alipokea mwanamme akaniambia kuwa huyu MTU hayupo.

Elewa Mimi Niko nnje ya Tz kidogo. Nimeandika SMS nyingi hazijibiwi. FB messages pia hazijibiwi . Nimemuomba msamaha nilipomkosea kwenye FB messages na kwenye SMS lakini wapi Bado kimya . Anajibu messages za wengine FB lakini sio zangu.

Leo nimeingia FB kutizama kama messages yeyote lakini Bado hamna lakini niliona aliingia . Baadae tena nikaingia FB tena kwenye kukaa , nikamuona online nikaita jina lake kwenye messenger Wala hajajibu chochote na hakukaa sana akatoka online.

Hebu niambieni wanaume na wanawake wenzangu nifanyeje? Na Je nimemkosea nini Huyu jamaa yangu? Nia yake ni nini ? Je Kweli anania nzuri na Mimi? Saa nyingine natamani nichukue tuu ndege nije lakini siwezi .

Je niwe na subira nae au niendelee na maisha yangu? Kusema Kweli Nina connection nae moyoni . katika mahusiano yetu, pamoja si ya muda mrefu tumeongea mengi sana kuhusu maisha na familia pamoja na maendeleo . Hata sijui nifanyeje.

Na kama amepata mwingine aniambie tuu ili nijue kuliko kuumia moyoni .

Mchepuko Mimi siwezi .

Nawasikiliza ndugu tafadhali.

Asante

Yuko trainining ya kazi yetu maalum huku mbweni akimaliza atakutafuta ondoa shaka
 
Bora kipi, kimyakimya au live mezani??

bora uambiwe ujue unaposimama....usipoambiwa ni mbaya zaidi kwasababu unajipa matumaini bado mna uhusiano wakati mwenzako ameshajitoa...ukiambiwa au usipoambiwa hakukupunguzii maumivu ya kuvunjika moyo!
 
Unaonekana kuwa na truelove ila umekutana na kibaka.Polesana dada yangu ndio mapenzi hayo yana run dunia
 
Haswa Ali kiba hajakosea na ninaupenda Kweli huu wimbo. Asante sana .
 
hlo ndo tatzo la wanaume ukimpenda haonyesh kukuthamin mm nshaumizwa kias kwamba ctaman hata kua na mwanaume tena!.mungu ndio faraja ya kwel
 
hlo ndo tatzo la wanaume ukimpenda haonyesh kukuthamin mm nshaumizwa kias kwamba ctaman hata kua na mwanaume tena!.mungu ndio faraja ya kwel

Ni Kweli ndugu yangu na unachokiongea. Naomba nikupe za kuumizwa na wewe. Mungu akuponye majeraha yako na kukutia nguvu siku zako zote.
 
Sokoni sehemu hiyo hebu nielekeze . Mimi ni mgeni hata hizo likes zangu pia sizioni . msaada please. Asante!

Join Date : 20th October 2014 Posts : 86

Rep Power : 318
Likes Received 44

Likes Given 9

Nashukuru umebadilika. Umegawa tisa. Hata mahusiano yako yatakuwa poa endapo kuna mambo madogo madogo utaanza kuyarekebisha.
 
mkuu kuna uhusiano gani kati ya LIKES za jf na mapenzi......

Appreciation!!!!!!!!

Unapofanyiwa jambo zuri na mpenzi wako, show appreciation........... onyesha unajali kwa yeye kuku-care.

Sasa, posts zoooooooooooooote alizosoma jf, hakuna hata moja iliyomfurahisha/elimisha angalau atoe like?

Vivyo hivyo hataweza kuona chochote chema anachofanyiwa na mpenzi wake!


Hata hivyo ameshajifunza, kwani ameshatoa likes 9 kutoka zero, so amefanyia kazi ushauri.
 
huyo alikuweka kama mchepuko wake huko aliko kuna familia yake.
 
Nasikia jamaa alienda kuoa sasa hivi yuko honeymoon subiri arudi atakutafuta(utani) Ila pole endelea na maisha yako mwaya muombe Mungu akuoneshe palipo sahihi.
 
Samahani kwa kukushutumu , nisamehe sana. Asante kwa kunitafsiria , maana ya ule ujumbe wako . Sasa nifanyaje kama keshaniacha? Si aniambie basi ili nielewe . Hapa ndio huwa nashangaa sana kuhusu sisi binadamu yaani hata sijui tukoje . Nashukuru sana Asante .

Hata ningalikua ni mimi yeye ningekuwacha kwa kuwa unaonekana una kichwa ngumu sana kuelewa.... yawezekana amegundua kwa feelings zake hamtaendana na hataki kuku umiza.
 
Nasikia jamaa alienda kuoa sasa hivi yuko honeymoon subiri arudi atakutafuta(utani) Ila pole endelea na maisha yako mwaya muombe Mungu akuoneshe palipo sahihi.


Aaaaaahaaaaaahaaaaaa. Asante akirudi mwambie aniletee zawadi Lol . Nashukuru kwa kunichekesha.
 
Back
Top Bottom