Nimueleweje na nifanyaje?

Nimueleweje na nifanyaje?

Kama wako aliyeletwa na Mungu atarudi ucjali dada hayo mapito yatapita ,! Mm mwenyewe ndio hvyo namsubiria mdada mpole mrembo ila bado ananizingua usiache kusali kama kweli amechaguliwa na yeye atakuja tu,!
 
Professor anasema. .... distance relationship ngumu sanaaa jamaniiii....
 
pole sana dada but mwanaume akitaka kukuacha kamwe hakutamkii kuwa kuanzia leo achana na mimi usinijue nisikujue but utaona tu vitendo vyake sasa jiongeze achana nae mind ur own bussiness kama mungu kakupangia kuwa atakuwa wako bas ipo sku,,,,,coz always boys wanaona kwamba akikwambia hakutaki kwa mdomo ipo siku atakaa na kukumbuka mrudiane tena so kama alikutamkia kuwa hakutaki hutaweza kurudiana nae,,,ndo hvyo
 
Tatizo la wanawake wengi tunapenda kulazimisha penzi ndilo baadae linakuja kukutesa..
We ukishaona dalili tuu..Ukiona Wingu tuu limetanda na wewe unatakiwa kujiandaa kuchukua mwamvulii....huna haja ya kuuliza...Akirudi na wewe unarudi, akianza kuchomoka na wewe anza kuchomoka...Usiingie ndani na kandambili zoote, ziwache njee...

Mwisho wa siku utaumia...na hata ukilia, ukisema unajitundika, ukimshika miguu hakuhurumii kama kashapata mwingine anayemwita honey, sweetie...cha zaidi anaweza mpa simu huyo kipya kinyemi akukomeshe kumtafuta...

So JIPANGEEE

Hello wana Jamiiforums

Mimi ni mwanamke Wa miaka 25-30 . Kama miezi kadhaa nimejuana na huyu Kaka ni mkarimu kwa Kweli na ni mcha Mungu, hii ndio sababu kubwa ambayo imenivuta kwake. Kitu ninachokipenda kingine yaani ananifanya na kuwa free kutania na kuchekeshana kwa sana ma hii Mimi huwa Napenda sana.

Okay sababu iliyonileta hapa ni hivi tuna week ya pili sasa inakwenda hela mawasiliano. Ninakuwa Nina wasiwasi kuhusu hali yake kwa maana si kawaida yake .

Nimepiga simu lines zake zote moja inaita ni ya kikazi Inakata tuu haipokelewi na nyingine ni private haupatikaniki. Ikabidi nimtafute Rafiki yake ambaye akishawahi kunitambulisha mwake na wanafanya kazi pamoja . Nimemuuliza akaniahidi kunifuatilia.

Alichoelezwa kawa Huyu MTU amekwenda likizo. Kumbuka hajawahi kuniambia kuhusu hilo na si kawaida yake. Mimi Bado sikuachia hapo nikaendelea kupiga simu ile ya kikazi kuna MTU alipokea mwanamme akaniambia kuwa huyu MTU hayupo.

Elewa Mimi Niko nnje ya Tz kidogo. Nimeandika SMS nyingi hazijibiwi. FB messages pia hazijibiwi . Nimemuomba msamaha nilipomkosea kwenye FB messages na kwenye SMS lakini wapi Bado kimya . Anajibu messages za wengine FB lakini sio zangu.

Leo nimeingia FB kutizama kama messages yeyote lakini Bado hamna lakini niliona aliingia . Baadae tena nikaingia FB tena kwenye kukaa , nikamuona online nikaita jina lake kwenye messenger Wala hajajibu chochote na hakukaa sana akatoka online.

Hebu niambieni wanaume na wanawake wenzangu nifanyeje? Na Je nimemkosea nini Huyu jamaa yangu? Nia yake ni nini ? Je Kweli anania nzuri na Mimi? Saa nyingine natamani nichukue tuu ndege nije lakini siwezi .

Je niwe na subira nae au niendelee na maisha yangu? Kusema Kweli Nina connection nae moyoni . katika mahusiano yetu, pamoja si ya muda mrefu tumeongea mengi sana kuhusu maisha na familia pamoja na maendeleo . Hata sijui nifanyeje.

Na kama amepata mwingine aniambie tuu ili nijue kuliko kuumia moyoni .

Mchepuko Mimi siwezi .

Nawasikiliza ndugu tafadhali.

Asante
 
hello wana jamiiforums

mimi ni mwanamke wa miaka 25-30 . Kama miezi kadhaa nimejuana na huyu kaka ni mkarimu kwa kweli na ni mcha mungu, hii ndio sababu kubwa ambayo imenivuta kwake. Kitu ninachokipenda kingine yaani ananifanya na kuwa free kutania na kuchekeshana kwa sana ma hii mimi huwa napenda sana.

Okay sababu iliyonileta hapa ni hivi tuna week ya pili sasa inakwenda hela mawasiliano. Ninakuwa nina wasiwasi kuhusu hali yake kwa maana si kawaida yake .

Nimepiga simu lines zake zote moja inaita ni ya kikazi inakata tuu haipokelewi na nyingine ni private haupatikaniki. Ikabidi nimtafute rafiki yake ambaye akishawahi kunitambulisha mwake na wanafanya kazi pamoja . Nimemuuliza akaniahidi kunifuatilia.

Alichoelezwa kawa huyu mtu amekwenda likizo. Kumbuka hajawahi kuniambia kuhusu hilo na si kawaida yake. Mimi bado sikuachia hapo nikaendelea kupiga simu ile ya kikazi kuna mtu alipokea mwanamme akaniambia kuwa huyu mtu hayupo.

Elewa mimi niko nnje ya tz kidogo. Nimeandika sms nyingi hazijibiwi. Fb messages pia hazijibiwi . Nimemuomba msamaha nilipomkosea kwenye fb messages na kwenye sms lakini wapi bado kimya . Anajibu messages za wengine fb lakini sio zangu.

Leo nimeingia fb kutizama kama messages yeyote lakini bado hamna lakini niliona aliingia . Baadae tena nikaingia fb tena kwenye kukaa , nikamuona online nikaita jina lake kwenye messenger wala hajajibu chochote na hakukaa sana akatoka online.

Hebu niambieni wanaume na wanawake wenzangu nifanyeje? Na je nimemkosea nini huyu jamaa yangu? Nia yake ni nini ? Je kweli anania nzuri na mimi? Saa nyingine natamani nichukue tuu ndege nije lakini siwezi .

Je niwe na subira nae au niendelee na maisha yangu? Kusema kweli nina connection nae moyoni . Katika mahusiano yetu, pamoja si ya muda mrefu tumeongea mengi sana kuhusu maisha na familia pamoja na maendeleo . Hata sijui nifanyeje.

Na kama amepata mwingine aniambie tuu ili nijue kuliko kuumia moyoni .

Mchepuko mimi siwezi .

Nawasikiliza ndugu tafadhali.

Asante

dada natumaini uko poa, ulifanikiwa kumpata rafiki yako kipenzi alieamua kukupotezea?
Njoo utujuze wanajamvi, i mean muendelezo upo? Hayo tu.
Hope utakuja na majibu positive.
 
Bahati ka hizi tunatafuta sana sisi ningepata mwanamke wa dizaini yako ningetulia sana jamaa wa ajabu sana hafahamu wanawake wenye upendo wako wako wachache sana
 
Hello wana Jamiiforums

Mimi ni mwanamke Wa miaka 25-30 . Kama miezi kadhaa nimejuana na huyu Kaka ni mkarimu kwa Kweli na ni mcha Mungu, hii ndio sababu kubwa ambayo imenivuta kwake. Kitu ninachokipenda kingine yaani ananifanya na kuwa free kutania na kuchekeshana kwa sana ma hii Mimi huwa Napenda sana.

Okay sababu iliyonileta hapa ni hivi tuna week ya pili sasa inakwenda hela mawasiliano. Ninakuwa Nina wasiwasi kuhusu hali yake kwa maana si kawaida yake .

Nimepiga simu lines zake zote moja inaita ni ya kikazi Inakata tuu haipokelewi na nyingine ni private haupatikaniki. Ikabidi nimtafute Rafiki yake ambaye akishawahi kunitambulisha mwake na wanafanya kazi pamoja . Nimemuuliza akaniahidi kunifuatilia.

Alichoelezwa kawa Huyu MTU amekwenda likizo. Kumbuka hajawahi kuniambia kuhusu hilo na si kawaida yake. Mimi Bado sikuachia hapo nikaendelea kupiga simu ile ya kikazi kuna MTU alipokea mwanamme akaniambia kuwa huyu MTU hayupo.

Elewa Mimi Niko nnje ya Tz kidogo. Nimeandika SMS nyingi hazijibiwi. FB messages pia hazijibiwi . Nimemuomba msamaha nilipomkosea kwenye FB messages na kwenye SMS lakini wapi Bado kimya . Anajibu messages za wengine FB lakini sio zangu.

Leo nimeingia FB kutizama kama messages yeyote lakini Bado hamna lakini niliona aliingia . Baadae tena nikaingia FB tena kwenye kukaa , nikamuona online nikaita jina lake kwenye messenger Wala hajajibu chochote na hakukaa sana akatoka online.

Hebu niambieni wanaume na wanawake wenzangu nifanyeje? Na Je nimemkosea nini Huyu jamaa yangu? Nia yake ni nini ? Je Kweli anania nzuri na Mimi? Saa nyingine natamani nichukue tuu ndege nije lakini siwezi .

Je niwe na subira nae au niendelee na maisha yangu? Kusema Kweli Nina connection nae moyoni . katika mahusiano yetu, pamoja si ya muda mrefu tumeongea mengi sana kuhusu maisha na familia pamoja na maendeleo . Hata sijui nifanyeje.

Na kama amepata mwingine aniambie tuu ili nijue kuliko kuumia moyoni .

Mchepuko Mimi siwezi .

Nawasikiliza ndugu tafadhali.

Asante

Smart men never tell when they let go of your hands especially when they know the potential side effects!

Maintain sober state of mind, accept the entire scenario and move on with your life.

But again, the man might be in some very serious relationship thats why you are not informed of his work holiday. Pole dadake na yule
 
Bahati ka hizi tunatafuta sana sisi ningepata mwanamke wa dizaini yako ningetulia sana jamaa wa ajabu sana hafahamu wanawake wenye upendo wako wako wachache sana[/QUOT

MKUU MOYO WA MTU KICHAKA, NA JAMBO USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
 
smart men never tell when they let go of your hands especially when they know the potential side effects!

Maintain sober state of mind, accept the entire scenario and move on with your life.

But again, the man might be in some very serious relationship thats why you are not informed of his work holiday. Pole dadake na yule

mkuu umeongea ukweli duh.
Hope message imefika
 
Smart men never tell when they let go of your hands especially when they know the potential side effects!

Maintain sober state of mind, accept the entire scenario and move on with your life.

But again, the man might be in some very serious relationship thats why you are not informed of his work holiday. Pole dadake na yule

Smart men are courageous and straight forward! Not that fella who toys with one's emetions.
Loveissweet you are too sweet for him to handle a lady like you....Take heart and move on h ain't worth your precious time...Sorry for the hard time I feel your agony.
 
Inferior creatures will always suffer for what they are weak----CONFISIUS
 
Smart men are courageous and straight forward! Not that fella who toys with one's emetions.
Loveissweet you are too sweet for him to handle a lady like you....Take heart and move on h ain't worth your precious time...Sorry for the hard time I feel your agony.

It's very important that you have critical discourse analysis to conceptualize a given text and comprehend.
 
Miwanaume ndo ilivyo hapo ushakosea sana,inavyoonekana kwake umekufa,hawa watu haitakiwagi wajue kama unampenda sass hayo ndo malipo yake! Kifupi hiyo ndo style alotumia kukuachaa kubali matokeo Fanya kama amekufa HV tuone itakuwaje

Najua uzi wa siku nyingi lakini huo ushauri wako watu waliokufa kwenye mahaba hawawezi kabisa.
 
Bahati ka hizi tunatafuta sana sisi ningepata mwanamke wa dizaini yako ningetulia sana jamaa wa ajabu sana hafahamu wanawake wenye upendo wako wako wachache sana

Wanasema bora shetani umjuaye kuliko malaika usiyemjua.
 
Smart men are courageous and straight forward! Not that fella who toys with one's emetions.
Loveissweet you are too sweet for him to handle a lady like you....Take heart and move on h ain't worth your precious time...Sorry for the hard time I feel your agony.
Ni kweli huo sio usmart ni upuuzi anamwacha mwenzie kwenye suspense anategemea ataota?? Watu wengine sijui wakoje. Mijitu kama hii haijiamini tu
 
Back
Top Bottom