- Thread starter
- #21
pole sana, mpaka hapo ushapata jibu kuwa uyo hana nia njema na wewe, angalia upande mwingine, haya mapenzi ya kukutana kwenye mitandao ni shida tupu.
Asante sana.

Samahani kwa kukushutumu , nisamehe sana.
Sasa nifanyaje kama keshaniacha? Si aniambie basi ili nielewe .
Hapa ndio huwa nashangaa sana kuhusu sisi binadamu yaani hata sijui tukoje ...
Jina langu hilo hapo juu!
Wala usihofu, huo muda wa kuchezea maisha ya watu, badala ya kuyahangaikia yangu yasikimbie, nautoa wapi!
Usijali...
Endelea na maisha yako na taratibu nawe anza kumtoa moyoni...kama utakuwa na nguvu basi waweza mueleza wazi kuwa mapenzi yenu yafike ukomo.
Usishangae bali shukuru kuwa umeitambua hii hali mapema...kuna namna nyingi za kuachana na hii ni njia mojawapo itumikayo!!!
Fanya mambo yako ukirudi utamtafuta tu.
Be patient time will tell..
Pole sana kwa maumivu...natamani nikupe nguvu ya kumpotezea maana mtu kama huyo hana nia na wewe..atakuja kukuzingua zaidi..
Hello wana FJ.
Mimi ni mwanamke Wa miaka 25-30 . Kama miezi kadhaa nimejuana na huyu Kaka ni mkarimu kwa Kweli na ni mcha Mungu , hii ndio sababu kubwa ambayo imenivuta kwake. Kitu ninachokipenda kingine yaani ananifanya na kuwa free kutania na kuchekeshana kwa sana ma hii Mimi huwa Napenda sana.
Okay sababu iliyonileta hapa ni hivi tuna week ya pili sasa inakwenda hela mawasiliano. Ninakuwa Nina wasiwasi kuhusu hali yake kwa maana si kawaida yake..... Hata sijui nifanyeje. Na kama amepata mwingine aniambie tuu ili nijue kuliko kuumia moyoni...
Hata mtu aweje mkarimu kama hajali hisia zako huyo mtu siyo mkarimu, kumbuka you are responsible for your happiness don't allow anyone to control how you feel, a relationship is to complement you and not fulfill you.
Tatizo kubwa la baadhi ya wanawake ni kuzani kuwa wanamajibu ya wanaume, unawasiwasi na hali yake then what?
Unataka uambiwe nini hapo? Wakati kila kitu kinasomeka clear...Na baadhi ya wanawake wanaamini sana masikio yao kuliko utashi wao. Kwanini ufikirie wewe ndio umemkosea na sio yeye? Hapo utakuta unahangaika kumpigia simu hata kwenu haupigagi kihivyo unamaliza hela kwa sms ambazo ungekuwa unasms wengine wanaokujali hata familia yako. Acha hizo stress za kujitafutia.
NB: Umeshauriwa hapo juu achana na huyo mtu, fanya yako, wengine wakibembelezwa sana ndio wanaharibu zaidi ila ukimpotezea atajua kuwa you know your value, kama wako atarudi tu kama sio hata ukisms na kuemail utatangwa maji kwenye kinu. Relax the best is ahead of you.
Pole! Ukiona hivyo huyo mtu ana mpenz wake! na ww ni mchepuko!
Samahani kwa kukushutumu , nisamehe sana. Asante kwa kunitafsiria , maana ya ule ujumbe wako . Sasa nifanyaje kama keshaniacha? Si aniambie basi ili nielewe . Hapa ndio huwa nashangaa sana kuhusu sisi binadamu yaani hata sijui tukoje . Nashukuru sana Asante .
Badili jina, like: loveissour inaweza kukupunguzia mawazo mpendwa!!
Ahahaa watu kwa kupalilia chaka ...mwenye njaa..!