Mnunulie mpendwa huoni aibu wewe una simu za tach umpendae ana tochi???
Acha tu shoga mimi niliwahi kuwa na bf ana drive ndinga kali mjini ana gari za kifahari kama Range, discovery lakini mpenzi wake hata ka vits nilikuwa sina. Vitu vingine wanaume muwe mnajiongeza nilimuacha sababu niliona huyu hakuwa na mimi kwa malengo.
TatiZo nikuwa asije akawa ni muongoKwan simu Shiling Ngapi Mkuu......
Hayo masharti ndio yanayokupa stress Au una kingine ......
Uwe na maamuz kwenye Vitu vidogo kama hivi
Umeishi nae kwa mda ganiTatiZo nikuwa asije akawa ni muongo
Acha tu shoga mimi niliwahi kuwa na bf ana drive ndinga kali mjini ana gari za kifahari kama Range, discovery lakini mpenzi wake hata ka vits nilikuwa sina. Vitu vingine wanaume muwe mnajiongeza nilimuacha sababu niliona huyu hakuwa na mimi kwa malengo.
Hebu na nyie msiwe na mawazo tegemezi! Kwa vile jamaa anaendesha basi na wewe akununulie gari? Ndio maana mnanyanyasika! Kama hizo gari ni za dingi wake je? Pambaneni kivyenu, mtakuwa huru zaidi!
mwaka mmojaUmeishi nae kwa mda gani